Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

'You are it', frankly speaking nimeijua leo maana yake !

Ila kutafsiri 'huyu msichana anajiona'...naomba msaada.
 
kimombo kibovu kabisa na hakina maana huyu mwavita makamba ndo alikuwa barmaid wa lodge yao pale nanenane usambara lodge kisha ajiweka.meneja kisha mzee yusufu kamfukuza au mwingine?

Umenchekesha sana,
 
Sikutegemea Mwamvita kwa status yake huo mkorogo wa lugha umefikiwa kwa ushirika wa ubongo na mikono yake na utashi wa kupost hivo
 
Pamoja na udakitari, anaandika kama pupils wa siku hizi! Vifupi visivyo rasmi vya nini?

Nadhani inakubalika mkuu... mi nilifundishwa hivyo pia kwenye communication skills na Dr. Neke (RIP).. Japo vifupisho vingine ni vya kijinga sasa- xaxa
 
Nitaendelea kuwaletea habari kemkem kutoka kwenye kambi za wanasiasa hawa wawili vijana wanaowania urais. Bahati nzuri, bila wao kujua, mimi niko kote kote...napata taarifa za ndani kutoka kwenye makundi ya wapambe wao kwenye mtandao wa whatsap. Hivi ninavyoongea hapa tayari wapambe wa Dk Kigwangalla wanajadili kwa kasi namna ya kuisambaza tweet hii kummaliza Makamba na chuki za kifamilia dhidi ya mgombea wao

Kigwangala Hana uwezo wowote wala Hana uzalendo wowote.
 
Kabla ya kubisha, kwanza hakikisha jibu lako. Mimi sina papara na kila ninachokiandika hapa. Utaumbuka bure. Haya soma hapo chini halafu bisha tena nikuongezee darasa.

When you say, "you are it" to someone, it can mean that the person is great/awesome to you in some way or if you have chosen the person for something. (Slang).

Awesome- Kiingereza cha Marekani, Mtu ana sifa nzuri/ tabia nzuri.

Eg. If someone has a great singing talent someone might say "This is it" or "You have it" about the singing, or "You are it" about the person. (Slang)

Talent--- kipaji kizuru.

Eg. If you go to a job interview and afterward the interviewer says, "you're it," then you got the job. (Slang)

Hapa inamaanisha umefanikiwa katika kazi baada ya interview. Sawa na kushinda maisha kwa kipaji kizuri au somo kushinda wenzako.


What does it mean if a person called me "irrelevant"? (Slang)

It means you don't matter at all. He's indifferent to you.

Irrelevant- hapa katika sentesi inamaanisha wewe huna umuhimu wowote katika jamii. Hung'ai kwa chochote.

Kumbuka kuna tofauti ya maana halisi ( literal) na maana ya mfano ( figurative) katika lugha.

Source: dictionary.reference.com

https://answers.yahoo.com/question/index?qid=20090616190224AAgs3XD

Kha! You lift arbitrary stuff off of yahoo answers, and elsewhere online, and claim it supports Makamba homemade English! I am not the least convinced dude! This is akin to trying to fit a square peg in a round hole. It just wont work! Matter of fact, I would even go further and accuse you of plagiarization. Shame on you!
 
Tunatafuta urais ki hip hop, tafuta ugomvi( bifu) hata kama haupo. Itauza tu watu watakujua tu hata usiowalenga wakufahamu.
 
https://answers.yahoo.com/question/index?qid=20090616190224AAgs3XD

Kha! You lift arbitrary stuff off of yahoo answers, and elsewhere online, and claim it supports Makamba homemade English! I am not the least convinced dude! This is akin to trying to fit a square peg in a round hole. It just wont work! Matter of fact, I would even go further and accuse you of plagiarization. Shame on you!

Kwanza jaribu kusoma vizuri Wakuu wengine walivyoelewesha kuhusu lugha yake.

Pili, unafahamu jinsi mtandao unavyofanya kazi? Jaribu kuandika jina lako katika Google engine. Je, ulitumia hizo websites zote zinazoonyesha jina lako?

Internet ina matawi mingi katika search engine na hilo jibu la yahoo answers vile vile limekumbwa kwenye website nyingine kuonyesha jibu hilo hilo katika site tofauti. Sikatai linaweza kuwa limetoka hapo, lakini mimi nimelikuta kwengine na nimeweka source. Plagiarism huweki source.
 
Back
Top Bottom