Tv na radio cloudz: Live ktk kuaga mwili wa marehemu kanumba.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu ! Kwa walio na access to Radio na Tv cloudz ,taratibu za kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa The Great zinaendelea. Tayari viongozi wa kitaifa wamesha wasili. Vilevile mwili wa marehemu umeshafka. Watu ni wengi sana waliofka, viwanja vya Leaders club vimeshajaa .R.I.P KANUMBA. Amen
 
thanx kweli ur peoples media! Coz hk kwe2 wat km mia 2po kwenye screen yenye kikamuz!
 
Wadau mnaweza fuatilia shughuli ya mazishi ya kanumba kupitia Clouds Tv. Watu ni wengi na shughuli imeanza.
 
Msiba mkubwa hapa bongo ni dili...

Wengine ndio wanapata publicity, wengine wanapata hela. Ni mashindano tu ya kutaka kuonyesha kila mtu msiba wa Kanumba unamhusu kuliko watu wengine huku dingi yake akihangaika kupata nauli ya kuja Dar...
 
KANUMBA ni Bora zaidi ya vimeo vilivyo bungeni safi sana Clouds
vipi mnashare uko wa matusi na Lusinde, kuna watu nawaheshimu sn pale Bungeni akiwamo Spika , Tafadhali acha kuwatusi na kuwadhalilisha wabunge kwa7bu ya mtu aliyefia ktk uzinzi
 
wewe mbona umechangia thread ya mfu?nawe ni mfu au ya so special

kuna mambo mengi sana ya kurusha live,ebu niambie hili linamchango gani katika ujenzi wa taifa letu.... wafuuuu fmmm wanazika watu wao mkuu..
 
Back
Top Bottom