Tv na radio cloudz: Live ktk kuaga mwili wa marehemu kanumba.

You're Watching CLOUDS FM

How could one watch an FM station instead of listening to?

Clouds FM is a Creative vibrant and forward thinking urban rhythmic contemporary entertainment radio station that broadcast predominantly in Swahili and is geared towards edu-taining the urban mass market in Tanzania aged between 18-35 years that is thirsting for ear grabbing out of the norm and out of the box radio
 
THIS IS VERY STUPID kwanini wasifanye live coverage ya mkutano wa bunge? au LIVE coverage ya madini yetu yanavyoibwa

Hujalazimishwa kuangalia wala kuckiliza; Kuna Tv ngap hapa Tz kwan kwa clouds kujihusisha na ratiba ya maziko ya SK ni tatizo, kama wataka kuanagalia bunge TBC na Star TV wanarusha angalia huko Clouds ni peoplez choice ukitaka iwe upendavyo wewe anzisha TV au redio yako
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Siasa zinataka kualimu itifaki hii yaleo
Viongozi naona wanatakuondoka usalama ni afifihapa readers
 
THIS IS VERY STUPID kwanini wasifanye live coverage ya mkutano wa bunge? au LIVE coverage ya madini yetu yanavyoibwa

....duhhhhhh! Mlimani tv, TBC, etc hawatoshi tu?
boring bunge, talking same nonsense kila siku na kupitisha miswada
ya kumkandamiza mtanzania....

Big up kwa clouds media! ....
 
Kibonde anaalibu mambo hapa siyo muda wa kuhoji watu sasa watu wamekuja kuaga kama wengini na watu macho mbele
 
Hujalazimishwa kuangalia wala kuckiliza; Kuna Tv ngap hapa Tz kwan kwa clouds kujihusisha na ratiba ya maziko ya SK ni tatizo, kama wataka kuanagalia bunge TBC na Star TV wanarusha angalia huko Clouds ni peoplez choice ukitaka iwe upendavyo wewe anzisha TV au redio yako

...ahsante kwa kumjibu.....
 
Unataka kuwapangia kitu cha kutangaza unadhani ni media za taifa hizo?.

....eti, ndio yale yale kwa miaka 23 tangu uhuru tulilazimika kusikiliza RTD pekee na TV (kwa waliokubaliwa kuhodhi TV
Serikalini) ni wale walio tune TVZ...
 
Rip kanumba, acha watu waseme mengi na kukup sifa nzur na mbaya,lakin njia ni moja. Huyo anayesema umekufa kwa uzinz hajui yy badae atakufa kifo gani.
 
....duhhhhhh! Mlimani tv, TBC, etc hawatoshi tu?
boring bunge, talking same nonsense kila siku na kupitisha miswada
ya kumkandamiza mtanzania....

Big up kwa clouds media! ....

KWA signature tu inanipa jibu kubwa
TBC na clouds na Star TV ni kitu kimoja niliacha kuangalia TV zamani kwa sababu ya UNAFIKI NA UZANDIKI WA media zetu
 
Umati ni mwingi uwanjani na kulingana na muda ni ndugu tu ndio watakao pata nafasi ya kutoa heshma za mwisho; hii nimeipenda sana kwa usalama wa wananchi waloshiriki na shughuli nzima viwanjani hapo"
 
Back
Top Bottom