Hamtuumizi vichwa kwasababu tunajua kuwa mnachuki na Waislamu, na nawaapia mtajitahidi kushindana na WAISLAMU Lakini hamtoweza kushindana na UISLAMU. TAMBUA UISLAM NI AMANI. sasa nyinyi hamtaki AMANI. Kupata hiko kibali ishakuwa shida
Hebu tazama channel za kikafiri (kikristo/wagalatia) zipo ngapi?
Tunajua hamtoacha chuki zenu ila cha moto mtakiona, kwasababu UISLAMU UNANGUVU.
NOTE: 1. WAISLAMU - BINAADAMU
2. UISLAMU - MUNGU
Kwenye Bible kuna vitabu vinne ambayo vinatuhusu Waislam (Labda kama hauujui Uislam) kuna Taurati ya nabii Mussa (Mussa ni mtume wetu) kuna Zaburi ya nabii Daudi (Daudi ni mtume wetu) Pia kuna Injiri ya nabii Yessu/Issa (Yessu ni Mtume wetu) Sasa unapo hoji Kwanini nasoma Bible nashindwa kukuelewa.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Christian_terrorismHakuna Mkristo Gaidi.Kawadanganye wenzako wa Madrasa.
mnatawala nani,,hahaha,mkuu unautani,mmemtawala nani,lini na wapi?
Inasikitisha Serikali kutoa kibali kwa Tv za Kigaidi..
nina maana yangu nilikua natafuta aya ili kusisitiza maadamu unanikimbiza ntaweka baadae.lakini ujue wakristo nao wanakamuliwa huko kanisani.mali zao,vindani etc,sasa anamcheka nani.Umeshausahau Mfumo Kristo mara hii?.Kweli nimeamini asiye na Elimu ni mwepesi wa kusahau.
Hakuna kabila linaloitwa mchaga alieasi,tuambie we mchagga wa wapi?Mimi ni mchaga nilieasi.
Na ni mchaga nisiekula mavi!
Hii ni pacha wa ile radio imani?
Hakuna kabila linaloitwa mchaga alieasi,tuambie we mchagga wa wapi?
Hakuna kabila linaloitwa mchagga alieasi,tuambie we mchagga wa wapi meku..Mimi ni mchaga nilieasi.
Na ni mchaga nisiekula mavi!
Tv imaan yapata kibali rasmi. Tv hii inaendeshwa na islamic foundation.
Licha ya islamic foundation kumiliki tv. Pia ina redio na shule za sekondari.lakini inamiliki zahanti nyingi hapa nchini zinazosaidia waislam na wasiokuwa waislam
pia ni taasisi iliokaribu sana na chuo kikuu cha waislam morogoro ambapo mwenyekiti wa islamic foundation ndie mshauri mkuu wa fedha chuoni.
Huna hoja ndio maana unakimbia,usitake lazimisha kisicho asili yako,we mdengeleko unalia eti mchagga ulieasi,hakunaga ilo kabila..Nimeisha kwambia uchaga nimeuasi.
Na kukumbuka nilikotoka ni kuukubali ulaji wa kinyesi!
Yaani roho inauma sana nikikumbuka!
Usiniulize tena
nina maana yangu nilikua natafuta aya ili kusisitiza maadamu unanikimbiza ntaweka baadae.lakini ujue wakristo nao wanakamuliwa huko kanisani.mali zao,vindani etc,sasa anamcheka nani.
Hao wezi wa MOU si wakristo wote ni kikundi cha watu hawafiki hata 50.
pesa zilizoko hazina ni walipakodi wote wakristo kwa waisramu,sasa kama kikundi cha maharamia wachache wanajichotea na kujenga mashule na mahospital kisha hizo huduma wanacharge bei kubwa unadhani watu watakaa kimya?Sasa kama wakristo wenyewe wameamua kukamuana wewe inakuhusu nini.Na kama wezi wa MOU sio Wakristo wote kwa nini kuwalaumu wakristo badala ya kulaumu hako kakikundi.
Kitu Pekee unachotakiwa ukielewe ni kwamba Elimu ndio Mkombozi wa Manyanyaso yote na sio Kukaa Chini na Kulalamika.Wazungu wanaendelea kutunyonya kutokana na Elimu ndogo tuliyonayo.Hali kadhalika humu nchini wenye Elimu wapo juu ya Sheria kutokana na Elimu Ndogo ya Asilimia kubwa ya Watanzania.