TV Imaan Hewani, Hongera

TV Imaan Hewani, Hongera

Status
Not open for further replies.
Ufupi wa mawazo yako ndio yamepelekea haya....naomba unijibu mswali haya rahisi tu

1. Uislamu jina unamaana gani?
2. Umetumia kipimo kipi ukawajua hao ndo waislamu wa kweli?
3. Je kinakufanya uwatoe waislam wa Tanzania ktk uislamu?

1. Uislam unamaana amani kwa waliojisalimisha kwa allah tu (na kifo kwa wanaomkataa allah)
2. Waislam wa kweli wanajulikana kwa matendo yao na mm nimetumia Quran kudhibitisha hili kama hapa chini ninavyonukuu

Mohammed is Allah's apostle said. "Those who follow him are ruthless to the unbelievers but merciful to one another". Qur'aan - 48:29

مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّهِ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاء عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاء بَيْنَهُمْ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِم مِّنْ أَثَرِ السُّجُودِ ذَلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَى عَلَى سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا

3. Na watoa waislam wa Tanzania katika uislam maana hawaishi kam uislam unavyotaka. Hatuoni wakikata watu miguu na mikoni, hatuoni wakiacha kunywa pombe na kupiga mawe wazinzi. Hatuoni wakikataza vijana wao kuimba music maana uislam umekataza yote hayo. Na mwishi hawajaweza bado kupigana jihad ya kuwaua makafiri na kusimamisha dola ya kiislam kama kule Afghan, Pakistan, Syria, Iraq, Yemen, Northern Nigeria wanavyopambana ili kusimamisha dola ya Kiislam.

Una swali lingine?
 
Mambo mengine wajameni ni yaku yaacha tuu!, wengine wetu humu ndio hivyo tena, sio mpaka waanze kuokota makopo
 
hongera sana elimu ya kigaidi inazidi kuwa juu hapa tz
 
Usiogope kuweka tafsiri ya hiyo aya:

Qur'an 48:29. Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa. ***
 
Sio kweli
Kuujua Uislam hatuna haja ya kutazama television station yoyote ile bali tunaisoma Quran pamoja na hadith na Sira baasi

Waislam wanaweza kuupotosha Uislam lakini hivyo nilivyovitaja hapo haviwezi kamwe kuupotosha

Labda kama unazungumzia kuwajua Waislam hapo ndipo tutalazimika kuwaangalia Waislam ambao ni pamoja na hicho kituo cha television!
Eiyer

Kusoma tu hivyo vitabu havitakusaidia kitu utatafsiri kwa ufahamu wako potofu ingekuwa Kusoma vitabu inatosha kusingekuwa na shule.
 
Last edited by a moderator:
hongera sana elimu ya kigaidi inazidi kuwa juu hapa tz

Naona huna hoja unaanza kuhororoja.

Pitia uje kutuelezea huo ugaidi unaofundishwa kwenye TV Imaan.

Amma kwa hakika yule akufundishae mazuri na kukukataza mabaya, kukutoa kwenye kiza na kukupeleka kwenye nuru, wewe kwa kuwa uko kizani unamuona yeye ni gaidi. Lakini yule anaekufundisha kuoana jinsia moja na sasa amefikia mpaka kukufundisha kuoana na mbwa, wewe unamuona ndio mwema kwako.

Dunia ina maajabu.
 
Nyinyi huku mnaigiza uislam, waislam wa kweli ni wale wa ASIA, na ndio maana wako tayari kuvaa bomu na kulipuka. Wamesoma mistari hii wakaielewa. Nyie huku mnahubiri amani utadhani wakristu. Wale wanafuata hizi bwana

"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)

"Fight against such as those to whom the Scriptures were given [Jews and Christians]...until they pay tribute out of hand and are utterly subdued." (Surah 9:27-)

"...make war on the leaders of unbelief...Make war on them: God will chastise them at your hands and humble them. He will grant you victory over them..." (Surah 9:12-)

"If you do not fight, He will punish you sternly, and replace you by other men." (Surah 9:37-)
"Prophet make war on the unbelievers and the hypocrites and deal rigorously with them. Hell shall be their home." (Surah 9:73)

"Believers, make war on the infidels who dwell around you. Deal firmly with them." (Surah 9:121-)

@mods niliwashauri siku nyingi muweke na kitufe cha fimbo huku kunamataahira wengi kama huyu kabusha wanatakiwa kuchapwa.
 
Karibu Tv imani ila natumaini Bwana Yesu atawajalia hekima na nguvu ktk kuendesha vipindi vyenu salama na kwa ufanisi zaidi.

Hongera Tv Imani.

Waislam tunafata mafundisho ya Yesu Alayhi salam to the dot. Pitia pitia TV Imaan ujionee.
 
Nyinyi huku mnaigiza uislam, waislam wa kweli ni wale wa ASIA, na ndio maana wako tayari kuvaa bomu na kulipuka. Wamesoma mistari hii wakaielewa. Nyie huku mnahubiri amani utadhani wakristu. Wale wanafuata hizi bwana

"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)

"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)

"Fight against such as those to whom the Scriptures were given [Jews and Christians]...until they pay tribute out of hand and are utterly subdued." (Surah 9:27-)

"...make war on the leaders of unbelief...Make war on them: God will chastise them at your hands and humble them. He will grant you victory over them..." (Surah 9:12-)

"If you do not fight, He will punish you sternly, and replace you by other men." (Surah 9:37-)
"Prophet make war on the unbelievers and the hypocrites and deal rigorously with them. Hell shall be their home." (Surah 9:73)

"Believers, make war on the infidels who dwell around you. Deal firmly with them." (Surah 9:121-)

Duh!, hivi uongo unakusaidia nini? jisomee:

Qur'an 3:156. Enyi mlio amini! Msiwe kama wale walio kufuru na wakawasema ndugu zao walipo safiri katika nchi au walipo kuwa vitani: Wangeli kuwa kwetu wasingeli kufa na wasingeli uwawa. Ili Mwenyezi Mungu afanye hayo kuwa ni majuto katika nyoyo zao. Na Mwenyezi Mungu huhuisha na hufisha. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona myatendayo. ***

Qur'an 9:12. Na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao, na wakatukana Dini yenu, basi piganeni na waongozi wa ukafiri. Hakika hao hawana viapo vya kweli. Huenda (kwa hayo) wakaacha.***

Qur'an 9:36. Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu.***

Qur'an 9:37. Bila ya shaka kuakhirisha (miezi) ni kuzidi katika kukufuru; kwa hayo hupotezwa walio kufuru. Wanauhalalisha mwaka mmoja na kuharimisha mwaka mwingine, ili wafanye kuwa sawa idadi ya ile (miezi) aliyo itukuza Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo huhalalisha alivyo viharimisha Mwenyezi Mungu. Wamepambiwa ubaya wa vitendo vyao hivi. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri.***

Qur'an 9:73. Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya.***

Qur'an 9:74. Wanaapa kwa Mwenyezi Mungu kuwa hawakusema; nao wamekwisha sema neno la ukafiri, na wakakufuru baada ya kusilimu kwao. Na wakajihimu kufanya ambayo hawakuweza kuyafikia. Na hawakuchukia ila kuwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake amewatajirisha kutokana na fadhila zake. Wakitubu itakuwa kheri kwao, na wakigeuka Mwenyezi Mungu atawaadhibu adhabu chungu duniani na Akhera. Na wala hawana katika ardhi mlinzi wala wa kuwanusuru.***

Badala ya waislam kuimarisha taasisi
zao ndio kwanza wanazihujumu na kuanzisha maTv yasiyo na msaada kwa maisha yao...........Tazama matokeao ya ISLAMIC SEMINARY SCHOOLS utajichokea..

Karibu TV Imaan kuna kipindi kinaonesha shule za Kiislam pitia ujionee.
 
Amma kwa hakika kuna watu wamejaa chuki, hasad na wanaposikia neno Uislam tu, wanaanza vitimbi vya kila aina.

Karibuni mtujuwe Waislam, msidanganyane, msiogope. Uislam ni nuru kwa waja wote, Uislam ni faraja kubwa kwa maisha yako ya kila siku.
 
1. Uislam unamaana amani kwa waliojisalimisha kwa allah tu (na kifo kwa wanaomkataa allah)
2. Waislam wa kweli wanajulikana kwa matendo yao na mm nimetuia Quran kudhibitisha hili kama hapa chini ninavyonukuu

Mohammed is Allah's apostle said. "Those who follow him are ruthless to the unbelievers but merciful to one another". Qur'aan - 48:29

مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّهِ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاء عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاء بَيْنَهُمْ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا يَبْتَغُونَ فَضْلًا مِّنَ اللَّهِ وَرِضْوَانًا سِيمَاهُمْ فِي وُجُوهِهِم مِّنْ أَثَرِ السُّجُودِ ذَلِكَ مَثَلُهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَمَثَلُهُمْ فِي الْإِنجِيلِ كَزَرْعٍ أَخْرَجَ شَطْأَهُ فَآزَرَهُ فَاسْتَغْلَظَ فَاسْتَوَى عَلَى سُوقِهِ يُعْجِبُ الزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ الْكُفَّارَ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ مِنْهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا

3. Na watoa waislam wa Tanzania katika uislam maana hawaishi kam uislam unavyotaka. Hatuoni wakikata watu miguu na mikoni, hatuoni wakiacha kunywa pombe na kupiga mawe wazinzi. Hatuoni wakikataza vijana wao kuimba music maana uislam umekataza yote hayo. Na mwishi hawajaweza bado kupigana jihad ya kuwaua makafiri na kusimamisha dola ya kiislam kama kule Afghan, Pakistan, Syria, Iraq, Yemen, Northern Nigeria wanavyopambana ili kusimamisha dola ya Kiislam.

Una swali lingine?
Ehud

Waislamu hatupelekwi kibubusa kama nyie huko kanisani sisi tunaenda kwa hoja na dalili zenye mashiko hiyo aya uliyoitaja hii hapa chini....

@quran 48-29

ﻣُﺤَﻤَّﺪٌ ﺭَﺳُﻮﻝُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ۚ ﻭَﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻣَﻌَﻪُ ﺃَﺷِﺪَّﺍءُ ﻋَﻠَﻰ ﺍﻟْﻜُﻔَّﺎﺭِ ﺭُﺣَﻤَﺎءُ ﺑَﻴْﻨَﻬُﻢْ ۖ ﺗَﺮَﺍﻫُﻢْ ﺭُﻛَّﻌًﺎ ﺳُﺠَّﺪًﺍ ﻳَﺒْﺘَﻐُﻮﻥَ ﻓَﻀْﻼً ﻣِﻦَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻭَﺭِﺿْﻮَﺍﻧًﺎ ۖ ﺳِﻴﻤَﺎﻫُﻢْ ﻓِﻲ ﻭُﺟُﻮﻫِﻬِﻢْ ﻣِﻦْ ﺃَﺛَﺮِ ﺍﻟﺴُّﺠُﻮﺩِ ۚ ﺫَٰﻟِﻚَ ﻣَﺜَﻠُﻬُﻢْ ﻓِﻲ ﺍﻟﺘَّﻮْﺭَﺍﺓِ ۚ ﻭَﻣَﺜَﻠُﻬُﻢْ ﻓِﻲ ﺍﻹِْﻧْﺠِﻴﻞِ ﻛَﺰَﺭْﻉٍ ﺃَﺧْﺮَﺝَ ﺷَﻂْﺄَﻩُ ﻓَﺂﺯَﺭَﻩُ ﻓَﺎﺳْﺘَﻐْﻠَﻆَ ﻓَﺎﺳْﺘَﻮَﻯٰ ﻋَﻠَﻰٰ ﺳُﻮﻗِﻪِ ﻳُﻌْﺠِﺐُ ﺍﻟﺰُّﺭَّﺍﻉَ ﻟِﻴَﻐِﻴﻆَ ﺑِﻬِﻢُ ﺍﻟْﻜُﻔَّﺎﺭَ ۗ ﻭَﻋَﺪَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺁﻣَﻨُﻮﺍ ﻭَﻋَﻤِﻠُﻮﺍ ﺍﻟﺼَّﺎﻟِﺤَﺎﺕِ ﻣِﻨْﻬُﻢْ ﻣَﻐْﻔِﺮَﺓً ﻭَﺃَﺟْﺮًﺍ ﻋَﻆِﻴﻤًﺎ

Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa.

Kuna mahali pameandikwa ni kifo kwa wanao mkataa allah acha ushabiki/chuki kijana kajipange upya....
 
Last edited by a moderator:
Ujio wa TV Imaan umekuja wakati muafaka kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni wakati wa kupata fursa ya nondo za kupanua bongo kutoka kwa wanazuoni waliobobea na wasio lamba viatu vya watawala kama wale wanaoatamia safari za Hijja huku wakishindwa kusimamia maslahi na mali za Bakwata.
 
Ikiwa inaeneza upendon na amani nitaipenda lakini kama ni mambo 'yale yale' mie hapana! Igeni mfano wa TV Tuamaini!
 
Ujio wa TV Imaan umekuja wakati muafaka kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni wakati wa kupata fursa ya nondo za kupanua bongo kutoka kwa wanazuoni waliobobea na wasio lamba viatu vya watawala kama wale wanaoatamia safari za Hijja huku wakishindwa kusimamia maslahi na mali za Bakwata.

Umezaliwa ktk chuki, umekulia ktk chuki, utawalea wanao ktk chuki, utaishi milele ktk maisha ya chuki na utakufa ktk chuki na jehenam ndio nyumba ya walioishi ktk chuki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom