Tunashukuru kwa ujio wa Tv Imaan, ila nimeshangazwa na comments za wale wenye chuki. Ama kweli, kheri inapotufikia chuki huwapanda mpk nyoyoni na mafundo ya ghadhabu huwajaa, mnakerekwa kwa Neema yetu 1, mliyonayo mara milioni zaidi!!!. Ila pale nakama, shida, tabu na magagaziko yanapotufika, kwao wao ni starehe na hufurahi Mithli ya binadamu alie jangwani na kuyaona maji yaliyompotea. Enyi wag.alatia msio na .... Ni lini mta rejoice kwa ile kheri ndogo kwetu???. Au mpk pale tutakapoifata mila yenu? Katu, Abadan hilo halitojiri ilaa yaumal saa'at. Huko tutahukumiwa sote na kuulizwa juu ya Neema tulizopewa na vipi tulizitumia. Namshukuru Allaah kwa hii Neema ya Uislam.