TV Imaan Hewani, Hongera

TV Imaan Hewani, Hongera

Status
Not open for further replies.
Shukran sana

Haya ndio majibu yenu!

Ahsante sasa weka aya uliyokuwa inaisema hapa:

quote_icon.png
By Eiyer
Si ni Quran hii hii ambayo inadai kuwa rahisi kueleweka?

Sasa kama ni hivyo,yanini tena kutafuta watu wanieleweshe kitu ambacho ni rahisi kueleweka?


Tuwekee hiyo aya, kwa ukamilifu wake.

Vipi? imekuwa ngumu kwako?
 
Karibu Tv imani ila natumaini Bwana Yesu atawajalia hekima na nguvu ktk kuendesha vipindi vyenu salama na kwa ufanisi zaidi.

Hongera Tv Imani.

Kuwa na adabu basi bwana Yesu, Yesu, Yesu, Bwana Yesu ni kitu gani!!!!!!
 
Tv station moja tu,mnatukana hv je zikiwa tatu?mbona wenzetu mnazo nyingi sana na wala hatuwakashifu?acheni hizooo.Ninyi mna dini yenu na mimi nna yangu.
 
Hongera kwa lipi? Kitu gani cha maana walichofanya mpaka wapewe hongera au ndiyo yaleyale ya Radio Imaan tutaanza kuyashuhudia Live kwenye TV yao.

TCRA ifanye monitoring ya kutosha isije ikawa kama yaleyale ya Radio yao waliyoifungia kwa kueneza chuki.

Watanzania hatutaki kufika huko.

TV ndo iko hewani sasa.
Kama hupendi kalale relini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom