TV Imaan Hewani, Hongera

TV Imaan Hewani, Hongera

Status
Not open for further replies.
Ni verse ipi iko sahihi kati ya hiyo uliyoniwekea na hii hapa chini?

16:89 to top

16_89.png
Sahih International
And @ the Day when We will resurrect among every nation a witness over them from themselves. And We will bring you, [O Muhammad], as a witness over your nation. And We have sent down to you the Book as clarification for all things and as guidance and mercy and good tidings for the Muslims.

Hii ndio iko sahihi.

ﻭَﻳَﻮْﻡَ ﻧَﺒْﻌَﺚُ ﻓِﻲ ﻛُﻞِّ ﺃُﻣَّﺔٍ ﺷَﻬِﻴﺪًﺍ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢْ ﻣِﻦْ ﺃَﻧْﻔُﺴِﻬِﻢْ ۖ ﻭَﺟِﺌْﻨَﺎ ﺑِﻚَ ﺷَﻬِﻴﺪًﺍ ﻋَﻠَﻰٰ ﻫَٰﺆُﻻَءِ ۚ ﻭَﻧَﺰَّﻟْﻨَﺎ ﻋَﻠَﻴْﻚَ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏَ ﺗِﺒْﻴَﺎﻧًﺎ ﻟِﻜُﻞِّ ﺷَﻲْءٍ ﻭَﻫُﺪًﻯ ﻭَﺭَﺣْﻤَﺔً ﻭَﺑُﺸْﺮَﻯٰ ﻟِﻠْﻤُﺴْﻠِﻤِﻴﻦَ

Na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu, na rehema, na bishara kwa Waislamu.
 
Moja: Kwani kuna Quran ngapi?

Mbili: Hivi unajua kuwa hiyo niliyokuwekea ni sahihi international?

Tatu: Unakubali kuwa mwenzako FaizaFoxy ametuletea ayat ya Quran ambayo "ina mashaka"?

Nne: Hivi unajua kwa haya hapa pekee yanathibitisha kuwa Quran sio "rahisi" kueleweka kama inavyodai yenyewe?

Tano: Kama sio kweli ni rahisi kueleweka,si itakuwa imesema uongo?

Sita: Kama imesema uongo,je inaweza kuwa imetoka kwa Mungu kweli?

Saba: Kama haijatoka kwa Mungu itakuwa imetoka wapi?
 
mungu huyu wa boko haram, al qaeda, al shabaab kuuwa na kuteka mabinti wasiokuwa na hatia? huyu mungu wenu ni choko kabisa.

mtakapomjuwa almighty God ndio mtarudiwa na akili.

Kumbe ndio mnavyofundishwa madhabahuni dah! kazi ipo.
 
Duh!, hivi uongo unakusaidia nini? jisomee:

Qur'an 3:156. Enyi mlio amini! Msiwe kama wale walio kufuru na wakawasema ndugu zao walipo safiri katika nchi au walipo kuwa vitani: Wangeli kuwa kwetu wasingeli kufa na wasingeli uwawa. Ili Mwenyezi Mungu afanye hayo kuwa ni majuto katika nyoyo zao. Na Mwenyezi Mungu huhuisha na hufisha. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona myatendayo. ***

Qur'an 9:12. Na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao, na wakatukana Dini yenu, basi piganeni na waongozi wa ukafiri. Hakika hao hawana viapo vya kweli. Huenda (kwa hayo) wakaacha.***

Qur'an 9:36. Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu.***

Qur'an 9:37. Bila ya shaka kuakhirisha (miezi) ni kuzidi katika kukufuru; kwa hayo hupotezwa walio kufuru. Wanauhalalisha mwaka mmoja na kuharimisha mwaka mwingine, ili wafanye kuwa sawa idadi ya ile (miezi) aliyo itukuza Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo huhalalisha alivyo viharimisha Mwenyezi Mungu. Wamepambiwa ubaya wa vitendo vyao hivi. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri.***

Qur'an 9:73. Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya.***

Qur'an 9:74. Wanaapa kwa Mwenyezi Mungu kuwa hawakusema; nao wamekwisha sema neno la ukafiri, na wakakufuru baada ya kusilimu kwao. Na wakajihimu kufanya ambayo hawakuweza kuyafikia. Na hawakuchukia ila kuwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake amewatajirisha kutokana na fadhila zake. Wakitubu itakuwa kheri kwao, na wakigeuka Mwenyezi Mungu atawaadhibu adhabu chungu duniani na Akhera. Na wala hawana katika ardhi mlinzi wala wa kuwanusuru.***

Good!! hata mm nlikua nasoma msahafu wa tafsiri ya quran hapa nkawa nashangaa yule mnafiki ametoa wapi ile tafsiri pale? shukran kwa kutuwekea quran halisi na tafsiri yake!!
 
Ni verse ipi iko sahihi kati ya hiyo uliyoniwekea na hii hapa chini?

16:89 to top

16_89.png
Sahih International
And the Day when We will resurrect among every nation a witness over them from themselves. And We will bring you, [O Muhammad], as a witness over your nation. And We have sent down to you the Book as clarification for all things and as guidance and mercy and good tidings for the Muslims.

Zote sawa, moja imeanza kati kati ya aya na moja imeanza mwanzo wa aya.

Jee, umeweza kuleta aya niliyokwambia uilete? naona umekwepa. Vipi?
 
.... wengi huwa wanapata habari za Waislam kutoka katika vyanzo ambavyo si vya Kiislam na huwa wanapotoshwa sana, sasa kitumieni chombo hicho kupata habari na kuujuwa Uislam kutoka kwa Waislam wenyewe.

Wa bi Llahi Tawfiq.
... kweli aisee. vyanzo vya kiislam ni pamoja na akina Abubakar Shekau (Boko Haram), Al Zahiri, Al FaizaFoxy, Ahmed Abdi Godane, na wachovu wengine.
 
Hongera kwa wote walioshiriki kufanikisha hilo.

Naitazama TV Imaan sasa hivi ikifanya "Test Signal" ikirushwa na Startimes.

Natoa pongezi za dhati kwa wote waliojitahid kwa hali na mali katika kufanikisha hilo.

Najuwa wamepitia mengi sana mpaka kufikia hapa walipo na malipo yao wote yapo yanawangoja wala wasikate tamaa.

Nimefurahishwa sana kuona mmeleta kipindi cha mahojiano na mambo muhimu yanayotuhusu kila siku kwa kumleta mtaalaam wa SUMATRA, ametoa darsa la maana kuhusu usafiri wa abiria na kipindi kimekidhi matarajio na ziyada.

Tunawatakia kila la kheri na mafanikio na urushaji mwema wa vipindi vyenu.

Nawaomba Waislam na wasio Waislam waingie na kujifunza mengi kuhusu maisha na fikra za Kiislam, wengi huwa wanapata habari za Waislam kutoka katika vyanzo ambavyo si vya Kiislam na huwa wanapotoshwa sana, sasa kitumieni chombo hicho kupata habari na kuujuwa Uislam kutoka kwa Waislam wenyewe.

Wa bi Llahi Tawfiq.

Samahan najua ww sio msemaji wa tv iman wala star times , just km unajua hio ipo ktk kifurushi gani au chaneli ya free .
 
Moja: Kwani kuna Quran ngapi?

Mbili: Hivi unajua kuwa hiyo niliyokuwekea ni sahihi international?

Tatu: Unakubali kuwa mwenzako FaizaFoxy ametuletea ayat ya Quran ambayo "ina mashaka"?

Nne: Hivi unajua kwa haya hapa pekee yanathibitisha kuwa Quran sio "rahisi" kueleweka kama inavyodai yenyewe?

Tano: Kama sio kweli ni rahisi kueleweka,si itakuwa imesema uongo?

Sita: Kama imesema uongo,je inaweza kuwa imetoka kwa Mungu kweli?

Saba: Kama haijatoka kwa Mungu itakuwa imetoka wapi?

Nane: Hakuna Quraan zaidi ya moja.

Tisa: hilo swali namba mbili halina maana.

Kumi:Quraan HAINA MASHAKA YYT NDANI YAKE, Na sio km zile biblia zenu 54.

Kumi na moja: quraan NI NGUMU SANA kueleweka kwa watu wenye vichwa vilivyojaa maji! Na akili km ya tembo.

Kumi na kenda: pamoja na Kumi na tandato.
Quraan haijasema uongo na quraan INATOKA kwa Muumba wa mbigu na Ardhi.
Na ni kiboko kwa wale wenye kumsingizia Mungu kuwa ana mtoto wa kuzungu, hakika hao wako ktkt laana kuu!

Kumi na nne. Ukitaka kuielewa Quraan vizuri basi ACHA KUNYWA DAMU YA YESU km huyu mwenzako Nicholas.
 
Attachments

  • 1401382342516.jpg
    1401382342516.jpg
    41.6 KB · Views: 62
Last edited by a moderator:
Zote sawa, moja imeanza kati kati ya aya na moja imeanza mwanzo wa aya.

Jee, umeweza kuleta aya niliyokwambia uilete? naona umekwepa. Vipi?

Hebu msome Boko haram hapo halafu uniambie ni kwanini yeye aameleta ambayo anadhani iko sahihi kuliko yangu na yako

Hii ndio iko sahihi.

ﻭَﻳَﻮْﻡَ ﻧَﺒْﻌَﺚُ ﻓِﻲ ﻛُﻞِّ ﺃُﻣَّﺔٍ ﺷَﻬِﻴﺪًﺍ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢْ ﻣِﻦْ ﺃَﻧْﻔُﺴِﻬِﻢْ ۖ ﻭَﺟِﺌْﻨَﺎ ﺑِﻚَ ﺷَﻬِﻴﺪًﺍ ﻋَﻠَﻰٰ ﻫَٰﺆُﻻَءِ ۚ ﻭَﻧَﺰَّﻟْﻨَﺎ ﻋَﻠَﻴْﻚَ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏَ ﺗِﺒْﻴَﺎﻧًﺎ ﻟِﻜُﻞِّ ﺷَﻲْءٍ ﻭَﻫُﺪًﻯ ﻭَﺭَﺣْﻤَﺔً ﻭَﺑُﺸْﺮَﻯٰ ﻟِﻠْﻤُﺴْﻠِﻤِﻴﻦَ

Na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu, na rehema, na bishara kwa Waislamu.
 
Last edited by a moderator:
Nane: Hakuna Quraan zaidi ya moja.

Tisa: hilo swali namba mbili halina maana.

Kumi:Quraan HAINA MASHAKA YYT NDANI YAKE, Na sio km zile biblia zenu 54.

Kumi na moja: quraan NI NGUMU SANA kueleweka kwa watu wenye vichwa vilivyojaa maji! Na akili km ya tembo.

Kumi na kenda: pamoja na Kumi na tandato.
Quraan haijasema uongo na quraan INATOKA kwa Muumba wa mbigu na Ardhi.
Na ni kiboko kwa wale wenye kumsingizia Mungu kuwa ana mtoto wa kuzungu, hakika hao wako ktkt laana kuu!

Kumi na nne. Ukitaka kuielewa Quraan vizuri basi ACHA KUNYWA DAMU YA YESU km huyu mwenzako Nicholas.

Hahahahaaaa

Mzee wa pumb.a hatimae umetoka kifungoni na sasa umevaa nguo zako halisi na sio zile za kuazima azima

Karibu sana na kama kawaida yako badala ya kujibu swali umeleta pumb.a
 
Hebu msome Boko haram hapo halafu uniambie ni kwanini yeye aameleta ambayo anadhani iko sahihi kuliko yangu na yako

Zote sahihi moja imeanzia mwanzo moja imeanzia kati kati ya sura, tofauti ni maneno ya wafasiri tu. Ukiisoma kwa lugha yake ya asili Kiarabu yote ni hiyo hiyo.

Qur'an ni moja tu, na ndiyo maana nikakuuliza wewe umesoma juzuu ngapi, naona ukakwepa hukujibu.

Jee, umeshaileta hiyo aya uliyotaka kutuaminisha?
 
Umesema "maana ni hiyo hiyo",maana hiyohiyo ipi?

Hilo la aya nimeshakujibu!
 
Haya mabandiko yenu yanatutia jelezi tu, mnasumbuliwa na jefule za maisha tu hamna lolote!!..
 
Umesema "maana ni hiyo hiyo",maana hiyohiyo ipi?

Hilo la aya nimeshakujibu!

Kama hujui Kiingereza wacha kuhororoja.

Umenijibu? mimi nataka uweke aya, sijakuuliza swali, punguani wahed.
 
Acha chuki
hongera kwa lipi? Kitu gani cha maana walichofanya mpaka wapewe hongera au ndiyo yaleyale ya radio imaan tutaanza kuyashuhudia live kwenye tv yao.

Tcra ifanye monitoring ya kutosha isije ikawa kama yaleyale ya radio yao waliyoifungia kwa kueneza chuki.

Watanzania hatutaki kufika huko.
 
Hongera kwa wote walioshiriki kufanikisha hilo.

Naitazama TV Imaan sasa hivi ikifanya "Test Signal" ikirushwa na Startimes.

Natoa pongezi za dhati kwa wote waliojitahid kwa hali na mali katika kufanikisha hilo.

Najuwa wamepitia mengi sana mpaka kufikia hapa walipo na malipo yao wote yapo yanawangoja wala wasikate tamaa.

Nimefurahishwa sana kuona mmeleta kipindi cha mahojiano na mambo muhimu yanayotuhusu kila siku kwa kumleta mtaalaam wa SUMATRA, ametoa darsa la maana kuhusu usafiri wa abiria na kipindi kimekidhi matarajio na ziyada.

Tunawatakia kila la kheri na mafanikio na urushaji mwema wa vipindi vyenu.

Nawaomba Waislam na wasio Waislam waingie na kujifunza mengi kuhusu maisha na fikra za Kiislam, wengi huwa wanapata habari za Waislam kutoka katika vyanzo ambavyo si vya Kiislam na huwa wanapotoshwa sana, sasa kitumieni chombo hicho kupata habari na kuujuwa Uislam kutoka kwa Waislam wenyewe.

Wa bi Llahi Tawfiq.

Is there any "faith" is Islam?

Poleni sana kwa huu msiba mlio upata...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom