TV Imaan Hewani, Hongera

TV Imaan Hewani, Hongera

Status
Not open for further replies.
Thanks Allah
 
Attachments

  • EVErything Ok.jpg
    EVErything Ok.jpg
    18.9 KB · Views: 109
Nimeiangalia tv imaan jumapili nzima huyu ni mkombozi wetu.hima hima watu wema tizameni tv imaan mpate manufaa.nimependa vipindi vyake.najuwa itapigwa vita sana na makafiri.lakini naamin kwa kuwa mungu yupo upande wa watenda mema tutashinda.amiin
mungu huyu wa boko haram, al qaeda, al shabaab kuuwa na kuteka mabinti wasiokuwa na hatia? huyu mungu wenu ni choko kabisa.

mtakapomjuwa almighty God ndio mtarudiwa na akili.
 
mungu huyu wa boko haram, al qaeda, al shabaab kuuwa na kuteka mabinti wasiokuwa na hatia? huyu mungu wenu ni choko kabisa.

mtakapomjuwa almighty God ndio mtarudiwa na akili.

Mungu wa Anti Balaka mbona umemsahau?
 
translated by google as

... cc: Young Mujahideen Movement

Tazama sasa hivi kuna kipindi kinachoonesha wananchi wanavyoporwa ardhi na wajanja wachache. Utapenda.

Na wananchi wanachangia maoni yao live kupitia namba 0737214285
 
Hivi vipindi ni baab kubwa.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Watoto wa mama mdogo bwana.Kwa mbwembwe siwawezi.Sema mnapoambiwa ukweli hamkawii kurusha ngumi.

Mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe.Hivi haiwezakani kuhubiri imani yenu bila kugusia imani ya wenzenu?
 
Ni rahisi sana tena kuielewa, kwa wale wanaoisoma wakataka kuielewa.

Jee, wewe umeisoma mpaka juzuu ya ngapi?

Sijui kama unakijua ulichokisema

Hiyo Quran inasema kuwa ni rahisi kueleweka na haijaweka mipaka kuwa ni nani na nani ndio huo wepesi unawahusu,sasa ni kwanini unaongeza maneno yako?

Hata nikisoma na kuishia juzuu ya pili,sio Quran niliyoisoma?

Nia yangu unaweza kuielewa wewe hadi useme nilisoma bila kutaka kuielewa? [japokuwa suala na kutaka au kutotaka halijasemwa]
 
Eiyer

Kusoma tu hivyo vitabu havitakusaidia kitu utatafsiri kwa ufahamu wako potofu ingekuwa Kusoma vitabu inatosha kusingekuwa na shule.

Quran inasema kuwa ni kitabu rahisi kueleweka,si ndiyo?

Sasa hizi bla bla zingine za nini mkuu?
 
Hivi ni wapi asili ya TV na ni nani wa kwanza kuangalia TV?
 
Sijui kama unakijua ulichokisema

Hiyo Quran inasema kuwa ni rahisi kueleweka na haijaweka mipaka kuwa ni nani na nani ndio huo wepesi unawahusu,sasa ni kwanini unaongeza maneno yako?

Hata nikisoma na kuishia juzuu ya pili,sio Quran niliyoisoma?

Nia yangu unaweza kuielewa wewe hadi useme nilisoma bila kutaka kuielewa? [japokuwa suala na kutaka au kutotaka halijasemwa]

Ni rahisi sana tena kuielewa, kwa wale wanaoisoma wakataka kuielewa.

"And We have revealed the Book to you which has clear explanation of everything, and a guidance, mercy and good news for those who submit." (Qur'an 16:89)
 
Nakuomba weka aya, hiyo aya itakusuta. Unaijuwa isemavyo? hebu tuwekee.
 
Ni rahisi sana tena kuielewa, kwa wale wanaoisoma wakataka kuielewa.

"And We have revealed the Book to you which has clear explanation of everything, and a guidance, mercy and good news for those who submit." (Qur'an 16:89)

Ni verse ipi iko sahihi kati ya hiyo uliyoniwekea na hii hapa chini?

16:89 to top

16_89.png
Sahih International
And @ the Day when We will resurrect among every nation a witness over them from themselves. And We will bring you, [O Muhammad], as a witness over your nation. And We have sent down to you the Book as clarification for all things and as guidance and mercy and good tidings for the Muslims.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom