secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,809
- 50,560
Kuwa na imani ya kutokudhurika pia punguza hofu halafu zingatia dozi.Asante sana 🤝🤝
Hapa nishaanza kufa ganzi.
Kuwa na imani ya kutokudhurika pia punguza hofu halafu zingatia dozi.Asante sana 🤝🤝
Hapa nishaanza kufa ganzi.
Kinyama gani hicho?🤔Hainaga mabega hiko kinyama nyamani. Kitakuingia chote.
Sawa kaka.Kuwa na imani ya kutokudhurika pia punguza hofu halafu zingatia dozi.
🤝Sawa kaka.
Nitazingatia hayo yote.
Asante sana sana sana.
Domo na pdidy, ila inaonekana uliendaKuna demu aliniambia niende kwake nikaone jiko la kuni lisilotoa moshi, nikaona Huyu anataka kuniharibia uvulana Wangu nikakimbia
Oooh babes 💔💔💔💔😔 pole sana jamani.Mami wangu
Napenda sana kurudi jukwaani ili tuweze kupiga story best yangu ila tatizo la ile dawa limekuwa kubwa zaidi.
Vidole vyangu hupata ganzi wakati mwingine mpaka kupelekea kuhisi kama yabisi baridi mikononi dear.
Nilijaribu kuchoma sindano ya mshipa mkononi ila sikupata ahueni.
Nateseka na hii baridi na ganzi ya mkono.
Ila nina imani nitakaa vyema na kurudi jukwaani salama na kuungana na wewe.
Nawapenda wote mnaonitag, kunifollow na kuni-mention.
Nawapenda mno.
Inshallah tuombeane kheri na fanaka ili nikae sawa kiafya na kuweza kurudi tena jukwaani.
Nakupenda mwari wangu na pia nawapenda wanajukwaa wenzangu.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
MNIOMBEE!!!!🫶🫶🫶
Unaogopa nini tena? mbona kama huu nao ni uongo 😂 😂 😂 😂Mshangazi una majibu mazuri kwa kila mtu mi naogopa.
Kwa hilo shangazi haupingiki, ankol anafaudu ujue, 😂Unaogopa nini tena? mbona kama huu nao ni uongo 😂 😂 😂 😂
Anyway, majibu ni ustaarabu na busara za utu uzima tu!
Mbona unaamka muda wa kulala jamani 😅Kama mimi sasa hivi nilivyoamka Mshangaz dot com uko kando, aiseeee 😀
😂😂😂Usiku huu unafanya nini mbona tunatafutana ubaya jamani mtongozo dot com 🤝
Nilienda kukojoa, acha nirudi kulala 🤣Usiku huu unafanya nini mbona tunatafutana ubaya jamani mtongozo dot com 🤝
Kwa experience yangu ni wanawake wachache sana wanaoweza kukataa usiku!, Ulale unono Mshangazi😛Nilienda kukojoa, acha nirudi kulala 🤣
Asante sana mamii.Oooh babes 💔💔💔💔😔 pole sana jamani.
Utakaa sawa tu, nakuombea upone haraka urudi, kunapwaya bila wewe. .
Ugua pole mami wangu, nakupenda pia 💕❤️🫶