Tuzogoe: Naweka hapo juu juu tu, ni uongo

Tuzogoe: Naweka hapo juu juu tu, ni uongo

Kama Sio tapeli bhas Anza Sasa.
Unaonekana una tabia zote za kina Nchimbi.
 
Kama Sio tapeli bhas Anza Sasa.
Unaonekana una tabia zote za kina Nchimbi.
Ennhe nifundishe, naanzaje?

Ha Ha Ha Lol GIF by Lifetime Telly.gif
 
sik

siku ukiniacha sijui nitafanya nini, ila bahati nzuri niliona kuna wataalam wa ramli humu, siwezi kuruhusu uone mic nyingine ,salamu zote nataka uwe unatumia mic yangu😁
Unanitishia kuniroga 🤣🤣haya bwana sitishiki, limbwata langu najua jinsi ya kulikoroga, utakua unajifungia mwenyewe chumbani hutaki kutoka 😅 ukiambiwa kwenda kazini unaanza kujiliza 🥲😅
 
Back
Top Bottom