Mm naona wanaume ndio tunaongoza kwa kusema uwongo kwenye mahusiano.
Kuna pisi ukisema ukweli tu hauipati.
Tunawadanganya danganya , unampa vihela vidogo vidogo kwanza, unamuambia kuna hela ming inaingia miez 2 mbele, ukiipata utamnunulia iphone 14🤓🤓🤓, au utamuongezea hela ya kodi, au kumuongezea mtaji. Basi mioyo yao inaridhika hata kwa matumaini ya kusadiki tu na tunda unapewa, kumbe nia yako uchovye usepe😂😂😂
kuonekana nadhifu na kujiamini inasaidia pia mwanamke akuamini hata umdanganye pakubwa...