Tuwe makini sana na benki za Mlimani City - DSM

Tuwe makini sana na benki za Mlimani City - DSM

Mkuu ninapata mashaka
kama wewe siyo jambazi?
kwa andiko lako hili unataka kusema uzi huu hauna maana?

Nashawishika kukuita jambazi kwani
umeona huyu anaharibu michongo yenu siyo?

Naomba uwaambie na wenzio,hizi fedha zinazowafanya mtutoe roho,
sisi tunazitolea jasho,na hamtakaa mzifaidi salama.
mtaishia kuwa vichaa na kuokota makopo kwani damu ya mtu
ina tabia ya kudai kisasi mbele za Mungu.

We pimbi kweli mm ni mtumishi wa benki ya stanbic tawi la mbeya, jamiiforum ya sasa hivi weledi wa watu ni mdogo , umizeni vichwa kwa kufanya japo utafiti mdogo don't jump to stupid quick conclusions, Nina wasiwasi na uelewa wako
 
We pimbi kweli mm ni mtumishi wa benki ya stanbic tawi la mbeya, jamiiforum ya sasa hivi weledi wa watu ni mdogo , umizeni vichwa kwa kufanya japo utafiti mdogo don't jump to stupid quick conclusions, Nina wasiwasi na uelewa wako
Watu wengi wameishaeleza ninyi watu wa benk some of you ndo wezi wenyewe,
Wewe si unaweza kuwa mmoja wao kwani wezi wana kwato?benki ngapi zinaporwa fedha
ukiangalia unaona michongo,imetokea ndani.
Hiyo benki unayoifanyia kazi ina hasara,kwani hata costumer care huna
unatema matusi kama mashine ya kukoboa mahindi?

Tafadhali mlioko Mbeya mshughulikieni huyu kwa kumreport kwa boss
wake,atawaharibia hao stanbic biashara.
 
Mara nyingi saaana nimeshuhudia kwa macho yangu teller anatuma na kujibu sms akiwa kwenye kiboksi chake cha kazi!! Na siyo benki moja; ni benki tofauti kama tatu........
Kuna teller aliniongezea pesa kimakosa coz she was busy na sim,nimefika hom nikakuta kuna pesa imezid nikamwambia mtu kuwa pesa imezid je nimrudishie?akanambia kuwa atajua na ataikata kwenye akaunt yangu
 
Ukienda kutoa pesa inatakiwa ugawe mara mbili yani kama ni milion 25! Basi 20 isindike sirini au ile 5 ndo ya majambazi unaibeba kawaida tu!! Ukiona hawakufati unatangaza tu 'oya kuna mil 5 hapa'
 
Wewe nadhani ni banker. Sisi wateja tunawaona hao mateller wakiwa na smart phones zao kwenye cubicles na mara nyingine wanapiga na kupokea simu. Kuna apps za kupiga picha kwa siri ambapo mpigaji anaweza kutransfer hiyo picha faster! We ukiona wachukua mzigo, na teller anajidai kushikashika smart phone yake, ama wale security guards wanazungukia sehemu unayohudumiwa, CHUKUA TAHADHARI, kwani YAWEZEKANA ukawa mhanga!

Taja iyo apps siyo longolongo, sheria mojawapo ukiwa teller hauruhusiwi kurumia simu ukiona ivyo ujue management ya hapo branch haiko poa, I'm nt a teller but nafaham system za banks
 
poleni sana wenye mkwanja mrefu.kumbe hamna amani kabisa ee?sisi huku maskini walaa!!!pesa zetu tumetunziwa na kina lowasa,rostam na chenge.watatupa kidogokidogo wakati wa kampeni
 
Ni kweli mlimani city bank si pahala salama kwa hela nyingi, magari na vitu vingine vya gharama.Pana wezi ukiwaona walivyovaa hutajua kuwa ni mwizi nasema hivyo kwa maana nishashuhudia matukio mawili kwa macho yangu ndipo niliposema hapa si salama kwa pesa na magari.(1)-nipo na rafiki yangu tunapumzika pale nje kuna kapub kanaitwa SAMAKI SAMAKI naona mtu anamwagia kitu kma maji mala kioo kikawa kama unga na kumwagika, kupitia dirishani laptop handbag,na mfuko vinaondoka naviona na baada dk 15 hivi mwenye gari anarudi nashuhudia anaanguka na kuzirai,(2)kuna mwanajeshi kaingia benk katoka na 9 ml.ile anamaliza kutoka getini tu anaongea na mtu pkpk ghafla risasi zilimiminika na kufauru kuchukua mfuko wake wa kaki mkononi na miguu yote ikiwa haina kazi sijui hata kma hadi leo hii atakuwa anatembea vzr.
 
Mbona kimya @ Ally kombo au unapiga mix ya ngada na ganja ndio urudi? Maliza uje le akili ndogo, am humbled kubishana nawe leo akili ndogoz kama kinaniliu
 
hao washikaji unawachukua wanini? wakubebe utakapo dondoka kwa pressure baada ya kuibiwa au? maan sidhani kama wana msaada wowote kwakuwa majambazi wanakuja na bunduki washikaji zako watakuja wamebeba galaxy na iPhone tu

kwi kwi kwi......we jamaa wewe kama nawaona washkaj wanavyodunda viwanja vya m.city na begi la noti
 
poleni sana wenye mkwanja mrefu.kumbe hamna amani kabisa ee?sisi huku maskini walaa!!!pesa zetu tumetunziwa na kina lowasa,rostam na chenge.watatupa kidogokidogo wakati wa kampeni

Hahahahaha..teh teh teh umenichekesha sana aiseee....
 
alafu mbona kuna watu wamekomalia hii mada kuwa haina ukweli.au ndo hao hao wanaotupa shida mtaani.maana sielewi jambo la msingi ji.tu linabisha!!
 
hao washikaji unawachukua wanini? wakubebe utakapo dondoka kwa pressure baada ya kuibiwa au? maan sidhani kama wana msaada wowote kwakuwa majambazi wanakuja na bunduki washikaji zako watakuja wamebeba galaxy na iPhone tu

Hahaaaa duh umeniboreshea siku nimefrahi kwel we mtu
 
Huyu anaipinga kwa nguvu zote hii mada kwakuwa anajua tunafungua macho waliolala..
 
suluhisho ni kumiliki hela kihalali coz ukiiba na wewe utaibiwa tu
pili usiamini kila unayemwona kuwa ni mtu sahihi kwa kujua details zako
ukiona teller kashika simu palepale unamfyatua kwa manager loudly
halafu tumia cheque au mpesa na tigopesa...ni salama zaid
 
Jamani mnaongea upuuzi, benki makini inafuata taratibu za kazi, bankteller akiingia kibandani anatakiwa akabidhi simu yake , mkoba ,wallet kwa supervisor na vinafungiwa hadi anapoenda lunch au jioni anapotoka, mm nafanya stanbic mbeya branch na hii inakuwa adhered strictly, shida inakuja lapses zinakuwa kwenye physical security na walinzi, unakuta watu wanasindikizana bank hadi watatu wkt mwenye transactions ni mmoja ukiwauliza ooh nimemsindikiza mwenzangu, banking hall sio pa kwenda kupumzika, sasa kwa show offs za mlimani city MTU anabeba ukoo Mzima anaingia nao bank for what purpose? jiulizeni ni kwa nini mlimani city pekee na sio pengine, huwa naingia NBC na crdb mlimani city kuna unakuta watu wamekaa tu hawaeleweki , hao ndio spotters wenyewe, ukitoka nae anatoka anawapigia wenzake wanakutight, punguzeni kujazana mlimani city


UNADHANI CRDB AU NMB sio Benki Makini? Makini ni STANBIC tu??

Wenzio wapo makini pia lakini hayo yanatokea na tunayoyazungumza hapa ni ya Benki za Mlimani CITY DSM sio MBeya CITY..
 
Back
Top Bottom