Tuwatambue Vinara wa Jukwaa la MMU

Anakuja WashaWasha yupo njiani

ame log off kiukweli kweli..
WashaWasha ame Log Off Kisungura sungura atarudi si punde tu utamuona

Hata mie nimem-miss na chungwa lake
Makeke mengi
Hahahahah washaWasha ana Makeke mengi hi thread Hii imemkosa leo mie Nalog Off
 
enzi hizo wakati MMU ikiwa imepamba moto na kabla ya kuvamiwa na watoto. wafuatao walikuwa wanatoa hoja nzito:
  1. Woman of Substance
  2. Mwanajamiione
  3. Aspirin
  4. Teamo
  5. Acid
  6. Lizzy
  7. Firstlady1
  8. JS
  9. Rev. Masanilo
  10. The Boss
  11. Nyani Ngabu (a.k.a. Miafrika ndivyo tulivyo)
 

Wewe mwenyewe
 
tuandamane basi
ila tupite uchochoroni
Aaaaah maandamano ni kupita sehemu yenye watu wengi ili ujumbe wako ufike sa we unataka habari za uchochoroni tena?!
 
Bishanga vipi?
 
sasa sijajua unawataka vinara wapi?...

1)ALL TIME MMU STARS
2)2011 MMU STARSZ OF THE YEAR
 
Kitu ambacho members wengi twasahau ni kua mtu mgeni kuwika ni kazi rahisi for bado ana mzuka na hujituma kweli kweli kuchangia na kujichanganya... I thinki ingekuwepo a salient system kua mtu ambae ni under miezi 6 awezi kua accredited ni super star na hali bado ni mbichi.... Katika michango.. threads mbali mbali za kale ambzo hua napitia kuna watu nakubali saana michango yao but sina bahati ya kukutana nao mara kwa mara... Mfano mzuri ni Woman of Substance.... She is quiet something... Na I appreciate her....

Alomtaja Kaizer kama Star naomba nijue kama ni me ama ke? lol
 
Mbona dada wa Tegeta... siomwoni?

Au ameshachukuliwa na mafuriko?
 

Asha Di hujambo?
I have missed you!
 
Huyo amepotea tu siku hizi, she used to be VERY active (naskia, lol)!
Ukitaka kumsoma nenda profile yake uone old post na started threads zake, masha'allah!
Hata mimi nafurahia sana michango yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…