Tuwatambue Vinara wa Jukwaa la MMU

Tuwatambue Vinara wa Jukwaa la MMU

Nlikusahau Dena Amsi, upo? Siku nyingi sijakuona humu, kulikoni? Wewe ni mmoja wa Makungwi wa MMU! Where are you Dena?
 
Dena Amsi, nawe ni mmoja wa Mateja wa MMU, sijakuona kitambo! Where are you Lassie?
 
Nyie ruke rukeni weeee lkn mtu mzima WASHA WASHA ndio mtama kwa watoto. Hakuna siku aliniacha hoi kama siku aliyo-isuuza chupi ya mpangaji mwenzie ambaye ni demu na kuleta kizaa zaa na mkewe.

Nasikitika kuwa ame-Log off komplitily.

Where you brazza washa boy?!
 
ame log off kiukweli kweli..
 
Hata mie nimem-miss na chungwa lake
Makeke mengi
Nyie ruke rukeni weeee lkn mtu mzima WASHA WASHA ndio mtama kwa watoto. Hakuna siku aliniacha hoi kama siku aliyo-isuuza chupi ya mpangaji mwenzie ambaye ni demu na kuleta kizaa zaa na mkewe.

Nasikitika kuwa ame-Log off komplitily.

Where you brazza washa boy?!
 
Sitaki kuamini kama hakuna aliyenitaja! Naandamana........................

Ashadii
The Boss
Bijibuji
The finest
Fesibuku
Smile
.............
 
Halafu kongosho nakutaka bila kujali jinsi yako!
 
Halafu kongosho nakutaka bila kujali jinsi yako!

usiwe na wasiwasi, mkulu ameshai-sign ile sheria kimya kimya. Mambo ya jinsi na jinsia sio issue tena. We ji-express utakavyo.
 
Back
Top Bottom