Hawa ni kuwaambia ukweli tuu hamna namna bahat nzuri sinaga unafiki wa kumfurahisha mtu ili anipende !!!
Wanapenda kusifiwa sana, yaan ukiwasifia basi wanakupenda mnooo !!
Ukweli utabaki kua ukweli..waache kujificha ktk mwamvuli wa Uanamke wao....." Kua mwanamke" hakutoi sababu ya kuhalalisha ujinga hata km ni wakipuuzi.
Nahii ndio sababu tumekua Na wimbi kubwa la wanawake WASOFAA kua wake zetu ...
Angalia zamaaan sana, Mababa zetu kumuoa singo mama HAIKUA TATIZO KABISAAAA.... Sasa angalia now days ,kwann imekua ngumu????
Mtu anakua singo mama au Aged, lkn ana msululu wa wanaume balaaa....sasa hum ni mitandaon....
Nahuko nje je?????
Wenyewe waendelee kusema Hatukulelewa vzuri, sijui tumeumizwa na wanawake
Ivi kweli Mwanaume kama mimi,,, Kuna siku ambayo Nitakaa Niumie sababu ya Mwanamke?????? Kwanza imaan yangu kuelekea mwanamke wangu, HAITAKAA KAMWE ISAPOTI MIMI KUUMIZWA NA MWANAMKE ...nikwasababu ninajiamin kiakili, kimaisha, kimalezi, kielimu , kimapenzi na Nina uhakika wa mahuasiano mapya kila siku.
Ukitaka Mwanamke Akusumbue, kua serious naye sana na ajue unampenda hata huwez kuish bila yeye ....ila ukitaka asikusumbue, kua katikat, onyesha unampenda..akizengua muonye ..akizengua tia makofi ,akizengua Achana naye.
Mungu aliposema Tuishi nao kwa akili.... Alijua fika kua ni viumbe werevu na wenye mauzi.