Tuwape Tanesco maua yako haraka

Tuwape Tanesco maua yako haraka

Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
Sisi kwetu mgao unaendelea kama kawa.
We wape maua yako sisi tunayaotesha kupamba nyumba zetu
 
Huyu Ni fisadi tu hyo jeuri katoa wapi
DSM hii Kuna watu Wana hela

Unakuta amejitengea bajeti ya milioni 3 kulipia petrol kwaajili ya Jenereta lake kuliko kuendelea kuteseka na giza la Tanesco 😅
 
Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
Duhh huku kwetu siku ya pili mfululizo wanakata
 
Sasa wee uko kijijinai unatumia taarif 0 na huna vifaa vingia Zaid ya balbu tu sqsa kwanin usiamishiwe kwenye taarif 0

Embu tafuta hella achana na taarifu 0 wewe
Ahaaa angalau nina friji 2, bulb kama 15, pasi, washing machine, blender, grinder, tv, n.k., pengine wewe hapo mjini hutumii umeme mwingi kama mimi. Rekebisha tariff yako unaliwa sana.
 
Sasa hii low voltage uwe umeweka tv guard na fridge guard mbona utakoma. Ni on/off on/off. Unaweza kuwa na umeme na usiijnoi kuwa nao.
Kuna muda taa baadhi Zina zima, Huku siku hizi sipendi mambo mengi.
So PC, godoro, vitabu basi.

Kuna sehemu kwingine ndo nime funga solar watt 200. Huko Safi hata wakate mazima
 
Kweli aisee, waweke bei ya 10000 upate unit 40, na iwe flat rate kwa taifa nzima,
Kisha wahakakikishe kila kijiji kina umeme
Wafanye unit 1=100 maana yake 1000=10 unit... Ukitoa 10000= 100 unit, hiyo iwe kwa residential(majumbani) halafu huko viwandani napo wawafikirie....lakini kwa hivyo watu wataona umeme ni bora kuliko mkaa na gesi, watu watafunga ac majumbani pasipo hofu ya bill, mashine za kufulia hazitakuwa anasa tena kwa baadhi ya watu...kwa ufupi ghalama za maisha zitapungua. Lakini haya yote ni ndoto chini ya jini mtu mweusi !
 
Wakifanya hivyo itakua poa sana mkuu, viwandani wafanye ×2=200 per unit
 
Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
Sifa ziende kwa Marehemu Magufuli, kwa kutekeleza mradi wa kihistoria ambao wengine wote waliogopa kuukamilisha.
Yeye huyo huyo ndiyo alisema lile Bwawa liki kamilika bei ya umeme ita pungua.
After kifo chake Tanesco wamesema bei ya Umeme itabaki pale pale haita pungua.

Sifa zote ziende kwa Magufuli hata kama ni marehemu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom