dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,687
- 18,596
- Thread starter
- #21
Ndio maana nimekuelezaa kuwa Kuna hitilafu imetokea mafundi wako site wanachapa Kaz kurejesha umeme uwe uuvumilivuEngutoto ni Njiro? Kwahiyo wa CRDB kuja BP, sio Njiro?
Ndio maana nimekuelezaa kuwa Kuna hitilafu imetokea mafundi wako site wanachapa Kaz kurejesha umeme uwe uuvumilivuEngutoto ni Njiro? Kwahiyo wa CRDB kuja BP, sio Njiro?
Huoni namba 😄Hivi machawa uwa mnalipwa?
Na mpk Sasa nimeshapigiwa simu na mtu akiniukiza umri wangu ,Elimu yangu na akinpa nimfowdie credentials zangu kwa namba zakeThen na wewe namba ya simu hapo mwisho umeweka ya nini?
Ukitaka kujua ugumu wa kupata uteuzi awamu hii kwa nyie msiotambulika huko juu muulize hapa mtu anaitwa somebody Mashamba atakwambia.
Mabibo sehemu gn upoTemeke yote wilaya nzima au
Taja eneo halisi
Alfu ngoja nimuite manager wa temeke alelze mnk mm Niko mabibo kwa Sasa
TANESCO njoo msikiloze mteja anadai umeme haupo wilaya nzima ya temeke
Ingekuwa simple hivyo waliokutangulia wasingekuwa bado humu wakilia liaNa mpk Sasa nimeshapigiwa simu na mtu akiniukiza umri wangu ,Elimu yangu na akinpa nimfowdie credentials zangu kwa namba zake
Ishalaal mungu Ni mwema Wenda nikala uteuzi ila Nina Kaz zangu tambua hilo
Watu jana tumeshinda kutwa bila umeme hadi usiku, leo tena washachukua mapema, ina maana mpake tena jioni/usiku. Kiufupi hao jamaa ni wapumbavu sana, wana dharau alafu ni waongo sana, wanaona kama vile wanaongoza mbuzi tu. Madaraka yamewalevya mpaka wamejisahau, hata hako ka Biteko kamekua kalongolongo sana siku hizi, kama tu PM alivyo mlongo.Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani
Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi
Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale
Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu
Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno
Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious
Kwa SAS safarini mabibo DSM
0759085510
Njoo chuoni j hapa Nina kikao na engineer wa mechanicalMabibo sehemu gn upo
Ilala Ni kubwa taja eneo mkuu ufikiwe haraka na vujana wetu walio tayari kuwatumikia watanzania wanyongeUpo wilaya gani mkuu? Huku Wilaya ya Ilala bado mgao upo
Engineer wa fyoco🤣🤣🤣Njoo chuoni j hapa Nina kikao na engineer wa mechanical
I'll kma VIP tukutane baadae hapo Riverside nitakiwepo hapo pia na kamishina wa madini
Kwanza uwe na heshima na adabu kwa viongozi wako waandamiziWatu jana tumeshinda kutwa bila umeme hadi usiku, leo tena washachukua mapema, ina maana mpake tena jioni/usiku. Kiufupi hao jamaa ni wapumbavu sana, wana dharau alafu ni waongo sana, wanaona kama vile wanaongoza mbuzi tu. Madaraka yamewalevya mpaka wamejisahau, hata hako ka Biteko kamekua kalongolongo sana siku hizi, kama tu PM alivyo mlongo.
Ingekuwa simple hivyo waliokutangulia wasingekuwa bado humu wakilia liaNa mpk Sasa nimeshapigiwa simu na mtu akiniukiza umri wangu ,Elimu yangu na akinpa nimfowdie credentials zangu kwa namba zake
Ishalaal mungu Ni mwema Wenda nikala uteuzi ila Nina Kaz zangu tambua hilo
No usije na mtu yoyote mkuuEngineer wa fyoco
Baadae jioni takua kwa shemeji yako mitaa ya mabibo jeshini
Ukisha hakikishia ulaji mkuu lazm uendelee kusifia na kuwapa viongozi maua YaoIngekuwa simple hivyo waliokutangulia wasingekuwa bado humu wakilia lia
Hata sikuwa nimemaliza kuusoma uzi wote 🤣🤣 kwahiyo huyu ni mdogo wake na LucasHuoni namba 😄
Never on the Earth " mm Sina vinasaba na watu wa songwe hasa wanyia na wandali mm siyo wa pande hzo ,mm nimetokeaa eneo lenye watu werevu na akili kubwa na pesa pia IPO na Elimu pia imo Sina vinasaba na bwana yule Lucas mwasambaHata sikuwa nimemaliza kuusoma uzi wotekwahiyo huyu ni mdogo wake na Lucas
Una maana gani kka kumpa mtu maua Yale Ni dhambi kumbeUnamsifia Muuaji kwa kuua watoto wako wanne sababu amekubakizia mmoja !!!
Hio kukata na kuzima ndio inakuwaje?Hapa nilipo haupo. Juzi walikuwa wanakata na kuzima