Tuwape Tanesco maua yako haraka

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,984
Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
 
Hapa nilipo haupo. Juzi walikuwa wanakata na kuzima
Ndio hapo umeme umekuwa mwingi Hadi inaharibu vipoozeo na kuleta short za Mara kwa Mara kumbuka huo Ni megawatt 235 Hali imekuwa hvyo wakiwasha mtambo namba 9 s balaa vifa na vyombo vyetu vya dhamani itaharibikaa

Tafhali nakushauri nunua vifaa original kukabilina na ongezeko kubwa la umeme
 
Kweli aisee, waweke bei ya 10000 upate unit 40, na iwe flat rate kwa taifa nzima,
Kisha wahakakikishe kila kijiji kina umeme
Kbsaa beberu tupaze sauti hapa mam alifanyie Kaz hili

I'll unanipa upatikanaji wa umeme kwa eneo uliloko
 
Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
Then na wewe namba ya simu hapo mwisho umeweka ya nini?

Ukitaka kujua ugumu wa kupata uteuzi awamu hii kwa nyie msiotambulika huko juu muulize hapa mtu anaitwa somebody Mashamba atakwambia.
 
Back
Top Bottom