Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,705
- 10,210
Angalia na gharama za kuliendesha shirika, hio 100 itaua shirika chap sanaaa 😂Wafanye unit 1=100 maana yake 1000=10 unit... Ukitoa 10000= 100 unit, hiyo iwe kwa residential(majumbani) halafu huko viwandani napo wawafikirie....lakini kwa hivyo watu wataona umeme ni bora kuliko mkaa na gesi, watu watafunga ac majumbani pasipo hofu ya bill, mashine za kufulia hazitakuwa anasa tena kwa baadhi ya watu...kwa ufupi ghalama za maisha zitapungua. Lakini haya yote ni ndoto chini ya jini mtu mweusi !