Tuwape Tanesco maua yako haraka

Tuwape Tanesco maua yako haraka

Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
Labda mwenzetu unatumia line ya ikulu.
 
Sasa mkuu Huko mashambani kwenye mpunga ndio unasema uko mjini anyway tulia utarud Kuna hitilafu kweny msongo wa kilovolts 3500 kwenye njia hiyo watu wako kazni
Mtu akikwambia yuko Usangu we unajua ni shambani tu? Panua ubongo wako zaidi anyways ahsante kwa taarifa
 
Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu

Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM

0759085510
Hiyo namba ni kwa ajili ya kurushiwa tokeni za LUKU?
 
Tutolee siasa za ki njaa njaa hapa
 
Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Mimi napata unit 73 kea 9,000 kwanini wewe unapata 28 tu?! Upo Dar au una industrial tariff?!
 
Sasa wee uko kijijinai unatumia taarif 0 na huna vifaa vingia Zaid ya balbu tu sqsa kwanin usiamishiwe kwenye taarif 0

Embu tafuta hella achana na taarifu 0 wewe
 
Hata huku uswahilini kwetu mgao hakuna ila kukatika na kurudi mara tatu ndani ya 1hr ni kawaida. Bila kusahau low voltage,friji inaweza isiwake nusu saa!
 
Back
Top Bottom