Tuwape Tanesco maua yako haraka

Tuwape Tanesco maua yako haraka

Una maana gani kka kumpa mtu maua Yale Ni dhambi kumbe
Tanesco kwa Vyanzo vyake ingekuwa inauza umeme Africa nzima let alone mgao Tanzania....

 
Niko Mbeya wilayani nimefika jana mchana umeme ulikuwepo ilivyofika usiku wakati mechi Yanga inaendelea kipindi cha pili ukakata umekuja kurudi sa 5 usiku. Asbh ya leo wamekata mpaka sasa hamna kwenye lodge wamewasha jenereta
 
Niko Mbeya wilayani nimefika jana mchana umeme ulikuwepo ilivyofika usiku wakati mechi Yanga inaendelea kipindi cha pili ukakata umekuja kurudi sa 5 usiku. Asbh ya leo wamekata mpaka sasa hamna kwenye lodge wamewasha jenereta
Sawa uko wilaya gani mkuu mbyea Ina wilaya Saba Seema ufikiwe
 
Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani

Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi

Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale

Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu


Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno

Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious

Kwa SAS safarini mabibo DSM


0759085510
Kodi
 
Bei ishuke kama ilivyokua mipango ya mwendazake.

Hii itasaidia kupunguza uharibifu wa mazingira maana majiko ya umeme yatatumika zaidi
 
Tanzania bila kiwango cha chini cha uzalishaji umeme cha 10,000 Mw bado safari ya kuupiga umasikini vita haijaanza.
Chini ya hapo ni kutuliza njaa tu.
 
Kwamba nikikwambia wilaya ndio utakuja kurudisha umeme? Anyways niko Usangu
Sasa mkuu Huko mashambani kwenye mpunga ndio unasema uko mjini anyway tulia utarud Kuna hitilafu kweny msongo wa kilovolts 3500 kwenye njia hiyo watu wako kazni
 
Tanzania bila kiwango cha chini cha uzalishaji umeme cha 10,000 Mw bado safari ya kuupiga umasikini vita haijaanza.
Chini ya hapo ni kutuliza njaa tu.
Babu mam ameongeza pesa Kuna bwawa Huko njombe nalo wanajenga kuleta megawatt 70 pia itaunganishwa kwenye grade
 
Back
Top Bottom