Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

mi nikiskia mtu wa JF kafariki roho inauma..imagine how it feels,,mtu humjui,ila mnajuliana umuumu tu kwenye coments na likes,,,mara paap kapotea miaka mitatu. dah...Mungu atuzidishie umri mrefu kwa rehema zake
Ila wengine wana multiple ID!!!
Wakiamua kuachana na zote na kubaki na moja Inakuwaje hapo sasa?
Pia Kuna wale wanao sahau password za JF na email zao nao nuwawekee R. I. P....?
 
Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP
4. Dotto Mnzava RIP
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkaoi wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886
Tusubirie na sisi ikifika mwaka 2169 wote tutakuwemo kwenye hii list na kama bahati yako bado utakuwa hai basi hutakuwa tena na uwezo wa kuingia JF...
 
Mimi nilikuwa nachuguliaga jambo forums lakini nilikuwa naogopa kujiregister ilichukuwa mwaka mmoja ma nusu ndiyo nikaingia mazima pindi hiyo kukikuwa na forums ya Dar Hit Wire ilikuwa chini ya east africa radio.
Dar hot wire mkuu
 
Kuna yule jamaa alifarikigi ilibakisha kama wiki hivi aoe simkumbuki jina
Nafikiri ni yule mdogo ake Daudi wa kota alikuwa anaitwa Johanes; though hakutajwa kwa ID yake ya JF. Wazidi kupumzika kwa amani.
 
Wengi wanaokufa ni wanaume tu,kweli tumeumbiwa mateso.

Yona Maro ndio nayemjua aliyefariki baada ya kunywa sumu. Huyu jamaa tulisoma wote O-level miaka ya 90 mwishoni.

Apumzike kwa Amani
Kwakweli apumzike kwa amani
 
takataka.... rubbish.... garbage.
tembeeni huko mkaone madictator wanafananaje.sio mnashindia kelele hapa jf.

huyo mzee mpaka mnamwita mshamba,mjinga,taahira,dhihaka zoote ila amekaa kimya.

swala la kui pin hii jf ni la sekunde tu lakini mnaachwa ili muendeleee kujamba jamba uharo wenu mnavyojisikia.
 
tembeeni huko mkaone madictator wanafananaje.sio mnashindia kelele hapa jf.

huyo mzee mpaka mnamwita mshamba,mjinga,taahira,dhihaka zoote ila amekaa kimya.

swala la kui pin hii jf ni la sekunde tu lakini mnaachwa ili muendeleee kujamba jamba uharo wenu mnavyojisikia.
We ni mpumbavu. Magufuli ni dikteta muuaji.over.
 
Back
Top Bottom