Kama hii Avatar Ni yako km tutakuwepo tutakujua.Hivi nikifa
Humu ndani sidhani kama kuna mtu atanikumbuka !
Wewe unajulikana kwa neno lako la "WALLAH" na kuna Mrembo Mmoja Instagram kila Post na comment lazima aweke hilo neno la wallah.Mimi jee
Alikua ana data za kuuponda Utawala wa JK sana,hauwezi kuamini ukimsoma sasaHuyu mzee sijawahi kuona uzi wake humu ndani..Mimi nilikua namfuatilia Sana Ig bahati mbaya akaniblock.
Nakumbuka kipindi nipo chuo Kuna rafiki yangu alikua amejiunga humu na yeye ndio alienifanya nijiunge humu ingawa ilipita miaka mitatu mbele..jf ni kisima Cha maarifa aisee
ukweli ni kwamba hao ni watu wawili tofauti,sema ni ubishi tu.na wewe inaonekana hujajua mantik ya kilichotokea pale, angalia vizuri. Sio kila mara lazima ujioneshe jinsi ulivyo popoma sometimes ukikausha mbona barida tuu
Mkuu sijabisha ila ukiangalia kilichotokea nimeclick kwenye jina kanjunju ila server ikareturn details za kajunju , sio kosa langu ni makosa ya kiufundi ya jf servers.ukweli ni kwamba hao ni watu wawili tofauti,sema ni ubishi tu.
View attachment 1184858
alifariki lini huyu mwamba!?
Mkuu. Unakumbuka tulikutana ocean road hospital kipindi fulani. Walijitokeza watu wachache tu halafu wengi walikua madem. Kuna dem anachangia sana siku ya nilipomuona. Nilichoka.
alikuchosha nn mkuuMkuu. Unakumbuka tulikutana ocean road hospital kipindi fulani. Walijitokeza watu wachache tu halafu wengi walikua madem. Kuna dem anachangia sana siku ya nilipomuona. Nilichoka.
Alikuwa member humu mkuu?taarifa zake mbona hazionekani?11. Barshetey