Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Na nisingeijua Jambo Forums kama si Lemutuz. Kila nikishuka kijiweni baadhi ya mazungumzo ni kuhusu kilichoandikwa humu na Mzee ES ndiyo ilikuwa ID yake wakati huo. Ukiwauliza watu hawasemi wanakwambia nenda Jambo Forums kama aina fulani hivi ya promo. Basi nikasema isiwe tabu siku moja nikaingia humu basi nikalowea.
Huyu mzee sijawahi kuona uzi wake humu ndani..Mimi nilikua namfuatilia Sana Ig bahati mbaya akaniblock.

Nakumbuka kipindi nipo chuo Kuna rafiki yangu alikua amejiunga humu na yeye ndio alienifanya nijiunge humu ingawa ilipita miaka mitatu mbele..jf ni kisima Cha maarifa aisee
 
Hivi mnajuaje hawa watu kama wamekufa mana walio wengi humu wana id fake... sidhani kama kutoingia jf mda mrefu ni kigezo cha kufa au watu wanajuana humu in real life?
Ww ndo hujuani.kutumia id fake co kigezo cha kutokujuana!
Watu wanahudhuria mpaka parts, misiba nk wanakosaje kujuana!
Huku kuna madem zetu#huku kuna wake zetu#kuna washkaj zetu regardless ya fake id tunajuana.
 
Kwa kweli alikuwa akiweka vitu nyeti sana na alikuwa mmoja waliyoipa JF umaarufu mkubwa sana. Mawaziri awamu ya nne walikuwa wakishinda humu halafu na wale waliokuwa wakinyofoa nyeti Serikalini kisha zikawekwa humu nao walisaidia sana kuipa umaarufu JF.

Huyu mzee sijawahi kuona uzi wake humu ndani..Mimi nilikua namfuatilia Sana Ig bahati mbaya akaniblock.

Nakumbuka kipindi nipo chuo Kuna rafiki yangu alikua amejiunga humu na yeye ndio alienifanya nijiunge humu ingawa ilipita miaka mitatu mbele..jf ni kisima Cha maarifa aisee
 
Lara1 siyo mange, rejea jf get together yakwanza kabisa, kama ulialikwa utaelewa.
sina hakika sana ila nakumbuka baadae watu walianza kumuhusisha na mange. ila inawezekana hakuwa yeye.

lara kapotea mazima au labda yupo hapa akitumia ID nyingine, ila kwa uandishi ule hata aje kivingine lazima sisi wahenga tutamgundua.
 
Inaonekana watu hamjui kusoma. Huyu unayemtaja Sie alie tajwa na mleta Uzi. Kasome vizuri
na wewe inaonekana hujajua mantik ya kilichotokea pale, angalia vizuri. Sio kila mara lazima ujioneshe jinsi ulivyo popoma sometimes ukikausha mbona barida tuu
 
Duh
Screenshot_2019-06-07-18-01-55.png
 
Back
Top Bottom