mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,094
- 39,615
povu rukhsa, ila mavi ukinya unazoa.We ni mpumbavu. Magufuli ni dikteta muuaji.over.
povu rukhsa, ila mavi ukinya unazoa.We ni mpumbavu. Magufuli ni dikteta muuaji.over.
Dah! Wapumzike kwa amani!! Hakuna wa ajali ya moto morogoro?
Ukiwa kimya zaidi ya mwaka tunakuwekea R. I. P mpaka uje ukanushe
tatizo umechange nguo ila mimi msela wako nitakukumbuka kama hauamini jaribu kufa[emoji23]Hivi nikifa
Humu ndani sidhani kama kuna mtu atanikumbuka !
wewe rafiki nitakukumbuka sana Kwa misimamo yako na kutokutetereka wala kuyumbishwa.Mimi jee
list ya wanajukwaaa wakiopoteaVipi kuhusu ndugu yetu Ben Saanane? Tumweke kwenye list ipi?
jaribu kufa uoneHivi mnajuaje hawa watu kama wamekufa mana walio wengi humu wana id fake... sidhani kama kutoingia jf mda mrefu ni kigezo cha kufa au watu wanajuana humu in real life?
Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP
4. Dotto Mnzava RIP
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkaoi wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886
jaribu kufa uone
wewe ata sielezei kwa nitakavyokumbuka dah!Nitakukumbuka na comments zako za swalehe
Sorry ni spelling error nilikuwa naanisha Dar Hot Wire asante.Dar hot wire mkuu
Alphonce mawazo mshikaji wangu dah! dunia tunapita utawala huu umeondoka na damu za wengi R.I.P ALPHONCE CHEMU MAWAZO.Sijamuona Alphonse Mawazo na kamanda mwingine Mohamed Mtoi kwenye orodha yako.
I agree with youhivi rutashubanyuma yuko wapi?. huyu jamaa alianzisha very critical thread ambayo ilikuwa inazungumzia issue negative tu za jiwe. alikuwa anatumia zaidi lugha ya kingereza kwenye thread ile.
nakumbuka alikuwa anaweka updates kila siku. page nzima alikuwa ana comment peke yake.
ni mda mrefu sana sijamuona hapa jf. isije kuwa alishachukuliwa na "watu wasiojulikana".
halafu sijui kwanini baada ya kuunganisha sana dot, napata hisia kwamba rutashumanyuma ni yule muandishi wa habari aliyetengenezewa kesi ya utakatishaji fedha.
jamaa alitengenezewa ajari kisa siasa za majitaka R.I.PMohamed Moti
😂😂 hata kama una stress kiasi gani ingia humu!jaribu kufa uone
Mimi jee
Hivi nikifa
Humu ndani sidhani kama kuna mtu atanikumbuka !
Wale wale wasiojulikanatembeeni huko mkaone madictator wanafananaje.sio mnashindia kelele hapa jf.
huyo mzee mpaka mnamwita mshamba,mjinga,taahira,dhihaka zoote ila amekaa kimya.
swala la kui pin hii jf ni la sekunde tu lakini mnaachwa ili muendeleee kujamba jamba uharo wenu mnavyojisikia.
Hata mie ningependa kueleweshwa,wanajuaje kuwa fulani amefariki?Hivi mnajuaje hawa watu kama wamekufa mana walio wengi humu wana id fake... sidhani kama kutoingia jf mda mrefu ni kigezo cha kufa au watu wanajuana humu in real life?