Kitambo jaman9. Dena Amsi kumbe alishatanguliaga mbele za haki? 😪😭
Wacongo wanasema "NJOVILE".Ahhaahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki tena umenichekeshaa
asante kwa post yako, wahusika wamekusikia. watakupangia siku ya kwenda kuchukua ujira wako.tembeeni huko mkaone madictator wanafananaje.sio mnashindia kelele hapa jf.
huyo mzee mpaka mnamwita mshamba,mjinga,taahira,dhihaka zoote ila amekaa kimya.
swala la kui pin hii jf ni la sekunde tu lakini mnaachwa ili muendeleee kujamba jamba uharo wenu mnavyojisikia.
Mimi kuna baadhi ya pm naogopa hata kuzijibuyah nakumbuka hicho kipindi. mzee mutambuzi alikuwa ana organize events za wanajf kukutana na kula bata. kilikuwa ni kipindi cha utawala wa jakaya.
kipindi hiki cha utawala wa jiwe uandae party sidhani kama member wengi wa jf watahudhuria. "watu wasiojulikana" na wenyewe watajimix humohumo ili waje kuchunguza nani nani. nahisi wana hasira sana na wanajf.
Haya nmeirudisha sasaKwa nini umetoa dp ya Tesla? Nilikuwa nakuona bonge la Genius kutokana na ile image ilikuwa inatuma strong message.
Teh ... [emoji38]Ukiwa kimya zaidi ya mwaka tunakuwekea R. I. P mpaka uje ukanushe
Ukifa kabl Yangu je we fwala [emoji28][emoji28]tatizo umechange nguo ila mimi msela wako nitakukumbuka kama hauamini jaribu kufa[emoji23]
Baadhi ya Ndugu huweka taarifa humuSasa wakuu mnajuaje kama hao watu wametutoka au ndugu zao wanatoa taarifa humu?
Alikua ni Regia MtemaWapumzike kwa Amani!
Kuna yule dada wa Chadema alipata ajali na Prado yake!
Dada alikua na akili sana!
Alikua ni mlemavu wa miguu nadhani!
Very very clever woman,na alikua mzuri sana aisee!
Heading ya hiyo thead inaitwa je mkuu?hivi rutashubanyuma yuko wapi?. huyu jamaa alianzisha very critical thread ambayo ilikuwa inazungumzia issue negative tu za jiwe. alikuwa anatumia zaidi lugha ya kingereza kwenye thread ile.
nakumbuka alikuwa anaweka updates kila siku. page nzima alikuwa ana comment peke yake.
ni mda mrefu sana sijamuona hapa jf. isije kuwa alishachukuliwa na "watu wasiojulikana".
halafu sijui kwanini baada ya kuunganisha sana dot, napata hisia kwamba rutashumanyuma ni yule muandishi wa habari aliyetengenezewa kesi ya utakatishaji fedha.
Limejibiwa sana hili swali ndugu kwenye hii threadMnafahamu vipi mtu ajifariki ikiwa identity yake halisi haijulikani?
Regia MtemaWapumzike kwa Amani!
Kuna yule dada wa Chadema alipata ajali na Prado yake!
Dada alikua na akili sana!
Alikua ni mlemavu wa miguu nadhani!
Very very clever woman,na alikua mzuri sana aisee!
Mabodaboda vichwa mbovu awapo jf na kama wapo ni wachacheDah! Wapumzike kwa amani!! Hakuna wa ajali ya moto morogoro?
Mimi sifi leo wala kesho bado nipo nipo kwanzaUkifa kabl Yangu je we fwala [emoji28][emoji28]