Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Am a bad muuhfucka coz the good die young....

Lil Wayne.
 
Hivi mnajuaje hawa watu kama wamekufa mana walio wengi humu wana id fake... sidhani kama kutoingia jf mda mrefu ni kigezo cha kufa au watu wanajuana humu in real life?
Mimi kilevi changu jf Nina mbinu nyingi sana za kujua
 
kuna wakati fulani mwaka jana mimi na baadhi ya member fulani wa jf tulipanga tukutana pale samaki samaki mlimani city kwa lengo la kufahamiana vizuri.

"huyu bwana" alipoanzisha mambo yake ya kishamba ya kutekana tekana kila mtu akaingiwa na uoga, matokeo yake hatukuweza kufanikisha lengo letu, maana jf ni kichaka kizito, hujuwi nani ni nani.

na kama ingetokea tungekutana basi ingekuwa ni fursa nzuri ya kufahamiana na hata kama mtu kapatwa na tatizo la maradhi au msiba ingekuwa ni rahisi kufahamu.

naandika haya kwasababu baadhi ya ID hazipo active kwa mda mrefu na hatujui wahusika walipatwa na masahibu gani.

Mungu azilaze mahala pema peponi roho zote za wanajf waliotangulia mbele ya haki. Amina
 
kuna wakati fulani mwaka jana mimi na baadhi ya member fulani wa jf tulipanga tukutana pale samaki samaki mlimani city kwa lengo la kufahamiana vizuri.

"huyu bwana" alipoanzisha mambo yake ya kishamba ya kutekana tekana kila mtu akaingiwa na uoga, matokeo yake hatukuweza kufanikisha lengo letu, maana jf ni kichaka kizito, hujuwi nani ni nani.

na kama ingetokea tungekutana basi ingekuwa ni fursa nzuri ya kufahamiana na hata kama mtu kapatwa na tatizo la maradhi au msiba ingekuwa ni rahisi kufahamu.

nasema hivi kwasababu baadhi ya ID hazipo active kwa mrefu na hatujui wahusika walipatwa na masahibu gani.

Miaka furani kulikuwa na fursa ya kukutana ila huko mnaonana sura tu na siyo kutajana ID jf kulikuwa kunachafuka sana kwa utani siku hiyo... Ila baadhi walikuwa wakijitaja Kama kina lemutuzzz
 
Mimi kilevi changu jf Nina mbinu nyingi sana za kujua
Hapo kwenye kujua kwako, nami kami sio nasi tulikuwa tunataka kujua bimaana suala la kufa si jambo dogo. Na nijuavyo Mimi humu watu hawafaamiani. Sasa Leo Mimi nimekufa kwa mfano wewe utajuaje? Nijuze mkuu si lengo baya.
 
Mkuu. Unakumbuka tulikutana ocean road hospital kipindi fulani. Walijitokeza watu wachache tu halafu wengi walikua madem. Kuna dem anachangia sana siku ya nilipomuona. Nilichoka.
 
Hapo kwenye kujua kwako, nami kami sio nasi tulikuwa tunataka kujua bimaana suala la kufa si jambo dogo. Na nijuavyo Mimi humu watu hawafaamiani. Sasa Leo Mimi nimekufa kwa mfano wewe utajuaje? Nijuze mkuu si lengo baya.
Source kubwa Ni pale member anae kujua atakapo tutaarifu humu
 
Miaka furani kulikuwa na fursa ya kukutana ila huko mnaonana sura tu na siyo kutajana ID jf kulikuwa kunachafuka sana kwa utani siku hiyo... Ila baadhi walikuwa wakijitaja Kama kina lemutuzzz
yah nakumbuka hicho kipindi. mzee mutambuzi alikuwa ana organize events za wanajf kukutana na kula bata. kilikuwa ni kipindi cha utawala wa jakaya.

kipindi hiki cha utawala wa jiwe uandae party sidhani kama member wengi wa jf watahudhuria. "watu wasiojulikana" na wenyewe watajimix humohumo ili waje kuchunguza nani nani. nahisi wana hasira sana na wanajf.
 
Back
Top Bottom