Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Kuna memba anaitwa mpk aliandika tread ya anayejua JPM anatupeleka wapi atuambie.....nadhani ana muda haonekani humu
wapo member wengi sana ambao huwa hawafurahishwi na watawala, tangu huyu jamaa aanze kuteka watu na wao wameamua kujiweka mbali na mitandao. sio kwamba wote wamekufa, la hasha.
 
wapo member wengi sana ambao huwa hawafurahishwi na watawala, tangu huyu jamaa aanze kuteka watu na wao wameamua kujiweka mbali na mitandao. sio kwamba wote wamekufa, la hasha.
Yah surr mkuu maana hata huku wapo wengi na wanajinasibu na vibiashara biashara
 
Mimi nilikuwa nachuguliaga jambo forums lakini nilikuwa naogopa kujiregister ilichukuwa mwaka mmoja ma nusu ndiyo nikaingia mazima pindi hiyo kukikuwa na forums ya Dar Hit Wire ilikuwa chini ya east africa radio.
Na nisingeijua Jambo Forums kama si Lemutuz. Kila nikishuka kijiweni baadhi ya mazungumzo ni kuhusu kilichoandikwa humu na Mzee ES ndiyo ilikuwa ID yake wakati huo. Ukiwauliza watu hawasemi wanakwambia nenda Jambo Forums kama aina fulani hivi ya promo. Basi nikasema isiwe tabu siku moja nikaingia humu basi nikalowea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hivi rutashubanyuma yuko wapi?. huyu jamaa alianzisha very critical thread ambayo ilikuwa inazungumzia issue negative tu za jiwe. alikuwa anatumia zaidi lugha ya kingereza kwenye thread ile.

nakumbuka alikuwa anaweka updates kila siku. page nzima alikuwa ana comment peke yake.

ni mda mrefu sana sijamuona hapa jf. isije kuwa alishachukuliwa na "watu wasiojulikana".

halafu sijui kwanini baada ya kuunganisha sana dot, napata hisia kwamba rutashumanyuma ni yule muandishi wa habari aliyetengenezewa kesi ya utakatishaji fedha.
Possible aisee
 
Mwenyezi Mungu awape marehemu wana-jamii forum pumziko la amani milele yote. Amina.
 
wapo member wengi sana ambao huwa hawafurahishwi na watawala, tangu huyu jamaa aanze kuteka watu na wao wameamua kujiweka mbali na mitandao. sio kwamba wote wamekufa, la hasha.

JPM hajawahi teka hata mbu. JPM angekuwa Wa hivyo wangekufa wengi tena hata kwa kuonekana wamekunywa viagra. Hujui nguvu ya mkuu Wa nchi mjinga wewe. Hizo siasa za maji taka kajaribu Rwanda ndo utajua kagame ni Nani. Na bado anapelekewa maeuro kibao na hawa wazungu wanaomwogopa JPM na kutunga habari kila siku. Ogopa sana Siasa na uchumi.
 
takataka.... rubbish.... garbage.
 
Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP
4. Dotto Mnzava RIP
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkaoi wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886

Wapumzike kwa Amani!

Kuna yule dada wa Chadema alipata ajali na Prado yake!

Dada alikua na akili sana!

Alikua ni mlemavu wa miguu nadhani!

Very very clever woman,na alikua mzuri sana aisee!
 
Back
Top Bottom