Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Na nisingeijua Jambo Forums kama si Lemutuz. Kila nikishuka kijiweni baadhi ya mazungumzo ni kuhusu kilichoandikwa humu na Mzee ES ndiyo ilikuwa ID yake wakati huo. Ukiwauliza watu hawasemi wanakwambia nenda Jambo Forums kama aina fulani hivi ya promo. Basi nikasema isiwe tabu siku moja nikaingia humu basi nikalowea.
Mzee ES wazee wa Sauti ya Umeme Field Marshal ES.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
JPM hajawahi teka hata mbu. JPM angekuwa Wa hivyo wangekufa wengi tena hata kwa kuonekana wamekunywa viagra. Hujui nguvu ya mkuu Wa nchi mjinga wewe. Hizo siasa za maji taka kajaribu Rwanda ndo utajua kagame ni Nani. Na bado anapelekewa maeuro kibao na hawa wazungu wanaomwogopa JPM na kutunga habari kila siku. Ogopa sana Siasa na uchumi.
Acha kutetea ujinga wewe,Ben Saanane yupo wapi? Aliyempiga Risasi Lissu nani? Undeni Tume ya Kijaji ichunguze hayo matukio wakishatoa report ndio uje kupayuka na hayo mautumbo yako........Mmeona yanayotokea Sudan kwa Omar Al-Bashir?
 
Wengine kama mimi humu nikifa hakuna wa kuja kupiga ripoti, naomba nijitakie Kifo chema siku ikiwadia na nijiombee kupumzika kwa amani pia.
 
tembeeni huko mkaone madictator wanafananaje.sio mnashindia kelele hapa jf.

huyo mzee mpaka mnamwita mshamba,mjinga,taahira,dhihaka zoote ila amekaa kimya.

swala la kui pin hii jf ni la sekunde tu lakini mnaachwa ili muendeleee kujamba jamba uharo wenu mnavyojisikia.
Unajua Role na maagizo ya Rais wewe? Unajua Riz1 alijibiwa nini na Baba yake Mzee Kikwete wakati riz1 alipomwambia Baba mbona unasemwa semwa hovyo kwanin haufanyi kitu? Rudi kwa huyo unayemtetea alisemaje kuhusu wasaliti aliokuwa ana "TREPU" simu zake? Na alimfanyaje huyo msaliti?
 
Back
Top Bottom