Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

Mkuu. Unakumbuka tulikutana ocean road hospital kipindi fulani. Walijitokeza watu wachache tu halafu wengi walikua madem. Kuna dem anachangia sana siku ya nilipomuona. Nilichoka.
nakumbuka kuna mdada alikuwa anaitwa lara one. watu walikuwa na usongo nae sana wa kumfahamu. ila baadae ikaja kubainika kumbe ni mange kimambi.
 
Mkuu. Unakumbuka tulikutana ocean road hospital kipindi fulani. Walijitokeza watu wachache tu halafu wengi walikua madem. Kuna dem anachangia sana siku ya nilipomuona. Nilichoka.
Yaani ilobaki kidogo niropoke jina la mtu.... Although nilikosa ila baada ya wiki hivi wanna JF Kama 10 walio enda nilikuwa nao mahala furani
 
Wamekufa wengi JF ila hakuna kifo kilichoniumiza kama Cha Ibra 87 asee niliteseka siku nzima kama I know the guy, kumbe ni humu humu. Mwili ulininyongonyea mawazo, Huruma.. ikabidi nitafute namba za ndugu zake through Jf member Deadbody nd
 
Akiondoka member Jf huwa panapigwa na baridi
 
Na nisingeijua Jambo Forums kama si Lemutuz. Kila nikishuka kijiweni baadhi ya mazungumzo ni kuhusu kilichoandikwa humu na Mzee ES ndiyo ilikuwa ID yake wakati huo. Ukiwauliza watu hawasemi wanakwambia nenda Jambo Forums kama aina fulani hivi ya promo. Basi nikasema isiwe tabu siku moja nikaingia humu basi nikalowea.

Kweli aisee
 
Back
Top Bottom