cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Sasa utakubalije akufukunyue hlf akuache na wewe.
Kama hujui jins ya kuwa king'ang'anizi niambie nikufundishe.
Mgande kama luba.
Ukiona tu anasogelea mdada chimba huyo mdada biti..
Kwan ulimtuma aseme kakuota.
Kaona ushafoli inlavu anataka kukukimbia.
Wewe ndo tolea namba moja na namba kumi na moja wake usikubali![]()





wallah unanivunjaa mbavuu jamaniii, kwa kweli nifundisheee.Wee kunifukunyua kotee kulee, nlivokua najipindaa kuulilia na kuukatikia ili asione wengine, leoo ananiachaa jomoneee




Boraa nisingekubaliii, kumbe alikuja kwangu km mtafiti, woiiiiii




afu mie nkazama mazimaaaa.
.
