Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

ye34nbe mkuu mbona unanitembezea sana "disliked" shida ni nini au hujui maana yake.

🤣🤣🤣🤣🤣 yaani kila post lazima unipige 😡😡😠😠🤬🤬🤬
 
Njoo wee ni babaa tamu wangu,
Sasa niliye muachia kumbe ana wake, sasa kwann utesekeee?? Tusogeze siku, ukimpata wa kumpenda ntamuachiaa.
Sawa kwakua ubingwa umechukua sasa sina ujanja...Acha nikae humo tu🤦🏽‍♂️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom