Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

veroos

Member
Sep 15, 2020
45
230
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida.

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote.

Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.

Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaani utajikuta umegeuka kiredio chake kama huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaani inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo. Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha.
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno

Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Dada mmoja wakuitwa Jane aliwah kunifuata ananiomba nimjanjarushe jamaake alivyojanjaruka akaanza kulalamika tena... Ila hiyo case yako daaah nakuonea huruma, pole sana
 
images.jpeg
images.jpeg
 
Back
Top Bottom