Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

mwenzio akikupenda nawe mpende, unajua maumivu ya mapenzi wee?? Hata kufake fake ili mwenzio niwe na amani.

ona hadi nakulilia jomoneee.
Ku fake fake mwishowe iwe kweli🤣
Huyu kazaliwa kupenda mbususu and mbususu he shall love till he dies.
Siwez kukubali um convert aanze kupenda vipenyo 🤣🤣
Leave IamBrianLeeSnr alone 🤣
Roba ya mbao nipige ila sikuogopi tena🤣🤣
 
Hapo shida ni ex alikua anakuchezesha rafu michezo utundu mautani utaniutani mastory kama yote uvoachana nae ukakutana na huyo wa tofauti.... !
Pole sana dear binadamu tunatofautiana!
 
Ku fake fake mwishowe iwe kweli
Huyu kazaliwa kupenda mbususu and mbususu he shall love till he dies.
Siwez kukubali um convert aanze kupenda vipenyo
Leave IamBrianLeeSnr alone
Roba ya mbao nipige ila sikuogopi tena
nimechekaaaa mnooo, sasa wee unamsemea?? Unayajua yaliyo moyoni mwakeee?? Wee relaaaaaaxxx km ni baba tamu wakoo wee sereleka naee

Mie jana nilikua nachamgamsha jukwaa na yeye ndo alianza kunichokozaaa mie.

Ni utani tyuuh.
 
Nilikua natania pia mpenzi.
Tufurahi tuongeze siku za kuishi😘❤️.
Hata yeye huyo IamBrianLeeSnr anayoniambia najua ananitania tu hamaanishi❤️😘
 
nimechekaaaa mnooo, sasa wee unamsemea?? Unayajua yaliyo moyoni mwakeee?? Wee relaaaaaaxxx km ni baba tamu wakoo wee sereleka naee

Mie jana nilikua nachamgamsha jukwaa na yeye ndo alianza kunichokozaaa mie.

Ni utani tyuuh.
Ila kuna saa nikahisi nyie ni couple kweli ujue🤣🤣
 
Ila kuna saa nikahisi nyie ni couple kweli ujue
hapanaaaa hata, afu hatujawahi hata kuchat kokote zaidi ya jukwaani, na ilitokea siku yeye kuna uzi alinizungumzia kuwa ananipenda sanaaa, hadi ananiotaa ndo kisangaa kikaanza.

Watu walimsanuaa vya kutoshaaa, uzi ulikua pambeeee au hukuwepooo wee.
 
😂😂😂😂😂 Ila cocastic mungu anakuona!
 
hapanaaaa hata, afu hatujawahi hata kuchat kokote zaidi ya jukwaani, na ilitokea siku yeye kuna uzi alinizungumzia kuwa ananipenda sanaaa, hadi ananiotaa ndo kisangaa kikaanza.

Watu walimsanuaa vya kutoshaaa, uzi ulikua pambeeee au hukuwepooo wee.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃

Heee shouz mpaka jamaa limekuota lazima ana kitu moyoni juu yako.
Ntakusaidia kukitafuta hadi tukipate tuone ni nini😂😂😂.

Naomba link ya huo uzi dear mi sio wa long humu sijauona😂😂

Ndo mana nikajiuliza huyu coca hii jeuri anaitoa wapi kumbe msela angu mwenyewe ndo kakupa jeuriiii😂😂

IamBrianLeeSnr kumbe eeeh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom