cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Ule uzi sijui ulifutwaaa,
Heee shouz mpaka jamaa limekuota lazima ana kitu moyoni juu yako.
Ntakusaidia kukitafuta hadi tukipate tuone ni nini.
Naomba link ya huo uzi dear mi sio wa long humu sijauona
Ndo mana nikajiuliza huyu coca hii jeuri anaitoa wapi kumbe msela angu mwenyewe ndo kakupa jeuriiii
IamBrianLeeSnr kumbe eeeh?





Watu walitema shomboo, watu walitukanaaa balaaaa, na mie nilipoona natukanwa sana nkashuka naye acha nimchambe na kumshushua.
Ilikua hatariiiii








with 

