Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Hamna noma! Sema dah! Najichoresha kinyama yani...
hivi JF uko nayo serious sanaa?? Hebu tuachee bhana. Isije kuwa nakukwaza. Mie nilikua nakutania na wala hakuna ukweli wowote.

Nisamehee bureee, kuanzia now hutoona nazungumza au kusema chochote juu yako.
Relaaaaaaaxxx!!! Byeeeee
Enjoy your time,
 
Kwanini wakina dada mnapenda maisha ya gubu, amani ikitawala mnaona shida. Kuishi kama watoto wa chuo wakati ni mtu mzima, huo upumbavu sijui kwanini hauwatoki hata mkishakuwa watu wazima. Yaani peace is everything!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu. Baadhi mihemko mingi, disscussion zisizo mantic na ulimbukeni wa uswahili wa vibarazani ndo inakujakuwapa shida+ huo uchuochuo.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida.

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote.

Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.

Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaani utajikuta umegeuka kiredio chake kama huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaani inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo. Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha.
Wewe veroo! acha hizo kwa hiyo unataka mumeo awe kasuku kama wewe?
 
Unachosema ni kweli mtu alivyo ndivyo alivyo mfano mimi adi nyumbani nilikua nagombezwa naambiwa nimezidi upole, ad nipo chuo nasoma shahada yangu ya ualimu naambiwa wew utakua unachezewa na wanafunzi lakini mimi naona nipo normal tu naongea vizuri na marafiki zangu japo sio mtu wa kutoka sana huwa nipo tu bize na Mambo yangu, sioni upole wangu ukinipa athari yeyote natabasamu mda mwingi napokua na watu naowajua ila kama sijakuzoea mara nyingi nakua mkimya sana.
Kuna demu wangu alikuwa ananiulizaga,huko shule unaweza kuchapa wanafunzi, kweli?
 
Nyoka mwenyewe ingawa alimpa tunda ila hajawahi kumuelewa mwanamke tusijisumbue sana kutaka kuwaelewa
 
Back
Top Bottom