I know, masters ni Ass Lecturer ambayo unapaswa uwe na GPA 3.8 katika masters degreeUkiwa na Masters degree. Sio Tutorial tena huyo
Hiyo ni kwa baadhi ya vyuo sana binafsi. Public vingi kama sio vyite wanataka GPA ya 4.0 masters ambae ni assistant lecturer. Na TA ni GPA kuanzia 3.8I know, masters ni Ass Lecturer ambayo unapaswa uwe na GPA 3.8 katika masters degree
Sio walimu bhana, Wahadhiri ni sawa. Tutoring or instructing sio sawa na teachingWanajiitaga wahadhiri. Eti sio walimu
Sio chini ya 1.8 - 2.0 M hivi.Ndio ngapi?
Nadhani huwa wanafanya written ya language baadae unamaliza na Oral ya presentation.Hivi interview huwa inakuaje? Kuanzia written na oral? Mimi nimeomba ya Architect.
- passmark ya Lecturers and the like unatakiwa upate 70%Hivi interview huwa inakuaje? Kuanzia written na oral? Mimi nimeomba ya Architect.
TA wa chuo kikuu mshahara ni zaidi ya 1.5mIla kumbe mishahara yao ni chini ya milioni?
Naona saivi utumishi wanaita direct kwenye oral kwa nafasi za kufundisha... sie tuliitwa oral moja kwa moja. Jiandae tu kuandaa presentation na kupresentHivi interview huwa inakuaje? Kuanzia written na oral? Mimi nimeomba ya Architect.
T.A ni mkufunziWanajiitaga wahadhiri. Eti sio walimu
Kwa vyuo kama UDSM na wenzake masters unatakiwa uwe na 4.0I know, masters ni Ass Lecturer ambayo unapaswa uwe na GPA 3.8 katika masters degree
SiaminiSio chini ya 1.8 - 2.0 M hivi.
GPA yako ipoje?Mishahara yao ikoje
Labda hiyo 3.5 Ni huko TEQUKwenye bachelor uwe na 3.5 na kama ni masters uwe na 3.8
Sikulazimishi kuamini ikiwa haupo au hujawahi fanya kazi katika eneo hili.Siamini
Tatizo hawakubali GPA za kichovuSikulazimishi kuamini ikiwa haupo au hujawahi fanya kazi katika eneo hili.
Hiki ni Teku?Labda hiyo 3.5 Ni huko TEQU
Tatizo hawakubali GPA za kichovu
Kweli,zamani wengi walianzia chini mpaka uprof.Ukiwa na Masters degree. Sio Tutorial tena huyo