Tutoe ushauri kulingana na mada husika

Tutoe ushauri kulingana na mada husika

Sibishani na jitu lisilo sawa kiakili!
Viajira vyenu vya kupata hela ya kula unahisi umeyapatia Sana maisha sio

Wewe ulipaswa uwe umefungwa kamba milembe kitambo sana😂😂😂
Haya sasa kaamia kwenye ajira huku akiwa hajui status yangu ya ajira ikoje..!
Kumbe hapa nabishana na brain of idiot! Mkuu mi naishia hapa nimegundua sio Mimi ndo hamnazo kama ulivyodai kumbe wewe ndo hakuna kitu!!.. uwe na siku njema!😂
 
Kuuliza si ubaya nami nataka ajira kama ukipata mkuu mbona umekuwa mkali...😅
Mkuu japo hainihusu, lakini umetumia lugha isiyokuwa sawa...
Unamuomba vipi ajira mtu ambaye naye anatafuta ajira, ni Kama umemkejeli au kumdhihaki !
Tuache haya majivuno mkuu, ID fake zisituondolee utu !
Uzi wa mtoa mada hauhusuani kabisa na hili uliloliandika.
TUPENDANE mkuu, maisha ni haya haya, Leo kwangu kesho kwako
 
Haya sasa kaamia kwenye ajira huku akiwa hajui status yangu ya ajira ikoje..!
Kumbe hapa nabishana na brain of idiot! Mkuu mi naishia hapa nimegundua sio Mimi ndo hamnazo kama ulivyodai kumbe wewe ndo hakuna kitu!!.. uwe na siku njema!😂
Sawa much know
Nyie ndio kila kitu mnakijua, ipo siku utakuja kusema wewe ndiye uliyegundua jamii forum kabla ya max
 
Mkuu japo hainihusu, lakini umetumia lugha isiyokuwa sawa...
Unamuomba vipi ajira mtu ambaye naye anatafuta ajira, ni Kama umemkejeli au kumdhihaki !
Tuache haya majivuno mkuu, ID fake zisituondolee utu !
Uzi wa mtoa mada hauhusuani kabisa na hili uliloliandika.
TUPENDANE mkuu, maisha ni haya haya, Leo kwangu kesho kwako
Well said , akipuuzia ushauri huu naonge na mod tunampiga life ban
 
Focus kwenye mada mkuu. Kuuliza masuala binafsi binafsi iwe ni kwa lengo la kutoa msaada. Ukimuuliza mtu "una kazi/ajira?" akikisha akikujibu hapana basi uwe na njia ya kumsaidia
Umeluwa kwenye betting nini? Mbona una hasira sana leo?

Mambo ya Ndola?

Naunga mkono hoja 100%
 
Kejeri ✖
kejeli ✔️

Nimetafuta sana sehem ya kukukosoa haikua rahisi ila nashukuru nimepata
..sehem..❌
...sehemu...✔️
...haikua...❌
...hikuwa...✔️
...nimepata.❌
...nimeipata.✔️
😇
 
Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.

Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k. Mtu kaandika uzi wa kuomba ajira utasikia vijana mmekua wavivu nenda kajiajiri au kalime sasa mtaji utampa wewe? Shamba na pembejeo za kilimo utampa wewe? Kama hauna connection si upite kimya kimya tu.

Mtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji

Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom