The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,859
- 123,957
Kwenye wengi kuna mengi,chukua ushauri/comments unazoona zinakufaa,zisizokufaa achana nazo,huwezi kumcontrol binadamu.
Kuna kukosoa na kukejeri au kudhihakiUkiona huitaji kukosolewa usiombe ushauri
Kwamba usiambiwe ukweli ukiandika pumba?Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.
Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k. Mtu kaandika uzi wa kuomba ajira utasikia vijana mmekua wavivu nenda kajiajiri au kalime sasa mtaji utampa wewe? Shamba na pembejeo za kilimo utampa wewe? Kama hauna connection si upite kimya kimya tu.
Mtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.
Ndi ndi ndi putuli putulu , hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele [emoji448][emoji448][emoji448]Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.
Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k. Mtu kaandika uzi wa kuomba ajira utasikia vijana mmekua wavivu nenda kajiajiri au kalime sasa mtaji utampa wewe? Shamba na pembejeo za kilimo utampa wewe? Kama hauna connection si upite kimya kimya tu.
Mtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.
Tunatofautiana uwezo wa kiakili mkuu. Mrekebishe mtu kwa lugha nzuri tu atakuelewa kusema ukweli sio lazima utumie dhihakaKwamba usiambiwe ukweli ukiandika pumba?
Ukweli utasemwa tu. Sio ujuaji .
Ok.Tunatofautiana uwezo wa kiakili mkuu. Mrekebishe mtu kwa lugha nzuri tu atakuelewa kusema ukweli sio lazima utumie dhihaka
🤣Kwani wewe hapo umeleta jambo gani?
🤣Ndi ndi ndi putuli putulu , hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele [emoji448][emoji448][emoji448]
Hayo yote hayakosekani kwenye jamii yeyote, chuja na uchukue kile unachoona kinafaa kwako mengine yapuuzie.Kuna kukosoa na kukejeri au kudhihaki
atakoma kama vipi arudi zake fbKejeri ✖
kejeli ✔️
Nimetafuta sana sehem ya kukukosoa haikua rahisi ila nashukuru nimepata
Kwa hili unalilifanya sio fair !Kuuliza si ubaya nami nataka ajira kama ukipata mkuu mbona umekuwa mkali...😅
Wewe ndio mchawi kama huamini kasome jina la mweka mada the unihukumuKwa hili unalilifanya sio fair !
Acha uchawi bro. Usitafute sifa humu
Ivo yaan 🤒Kwenye wengi kuna mengi,chukua ushauri/comments unazoona zinakufaa,zisizokufaa achana nazo,huwezi kumcontrol binadamu.
StupidWewe ndio mchawi kama huamini kasome jina la mweka mada the unihukumu
Mwenye Uzi wake hajamind wewe lichawi umemind si utahira huo.. Kuna watu mnaishi kwa chuki ndogondogo mno nahisi mnajikwaza mno kwenye maisha yenu kama hii ndio style ya unavyoishi...😂Stupid
Kumbe nilivyokuita mchawi umemind sio?🤣Mwenye Uzi wake hajamind wewe lichawi umemind si utahira huo.. Kuna watu mnaishi kwa chuki ndogondogo mno nahisi mnajikwaza mno kwenye maisha yenu kama hii ndio style ya unavyoishi...😂
Ni vile kila mtu na uamuzi wake ktk kuutumia huu mtandao ukitaka kujua wewe ni lichawi kubwa jinga jiulize kwanini unabishana na mtu ambae analaana na hayupo sawa kiakili...??Kumbe nilivyokuita mchawi umemind sio?🤣
Kweli mchawi ni mchawi tu, kwa comments zako za humu jf naona haupo sawa kiakili, either una laana...
Jitafakari mkuu
Nyie wapuuzi mnaocomment utopolo humu ndio wakushughulikiwa, mnajifanya wajuaji Hadi mnakera.Ni vile kila mtu na uamuzi wake ktk kuutumia huu mtandao ukitaka kujua wewe ni lichawi kubwa jinga jiulize kwanini unabishana na mtu ambae analaana na hayupo sawa kiakili...??
Ila watu bhana utafikiri nimemuhoji mweka mada kitu cha tofauti sana inakuja Kobe huko na stress zake inaanza kubwabwaja...😅
Punguza umbea nakufatilia watu fanya mambo yako,kukomenti Kila Uzi haikumalizii maisha yako unahangaika na vitu vya ajabu yaonyesha wewe ni mbeambea tu...😂Nyie wapuuzi mnaocomment utopolo humu ndio wakushughulikiwa, mnajifanya wajuaji Hadi mnakera.
Kila Uzi lazima licomment tu na maupumbavu yake.
Yaani wewe Hauna tofauti na chikumbalanga🤣🤣🤣
Sibishani na jitu lisilo sawa kiakili!Punguza umbea nakufatilia watu fanya mambo yako,kukomenti Kila Uzi haikumalizii maisha yako unahangaika na vitu vya ajabu yaonyesha wewe ni mbeambea tu...😂