Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,505
- 41,175
- Thread starter
- #61
Najua haiwezekani kubadilisha fikra za kila mtu lakini angalao kuna watakaoelewa.Hilo unalotaka haliwezekani

Tunakukomaza kwa namna mbalimbali ili uwe makini, mstahimilivu na jasiri katikati kupambana na hali zote.Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.
Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k. Mtu kaandika uzi wa kuomba ajira utasikia vijana mmekua wavivu nenda kajiajiri au kalime sasa mtaji utampa wewe? Shamba na pembejeo za kilimo utampa wewe? Kama hauna connection si upite kimya kimya tu.
Mtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.
Wachana nayo, haina faida, ni kamari tu ile.Hapana ndugu yangu. Nilitaka kumuweka jamaa kwenye mstari tu. Betting nishapigwa mara nyingi sana hata sikumbuki idadi
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania cheo hicho hakipoFree speaking.
Hapa tu nataka kuuliza hivi huwa kuna cheo cha waziri mkuu mdogo?
Sipo addicted nayo kivileWachana nayo, haina faida, ni kamari tu ile.
Ni kweli kuna baadhi ya wajumbe badala ya kutoa ushauri watatoa kejeli kwa sababu ni sehemu ambayo wengine wanatoa machungu waliyobeba. Lkn wale wanaotoa ushauri kwa kupitia mifano yao,,huwa inatoa nafasi kwa kujifunza na kujua kumbe inawezekana maana watu wanapitia experience mbalimbalia hata kama wewe hautapitia lakin ni sehemu mojawapo ya kujifunza.Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.
Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k. Mtu kaandika uzi wa kuomba ajira utasikia vijana mmekua wavivu nenda kajiajiri au kalime sasa mtaji utampa wewe? Shamba na pembejeo za kilimo utampa wewe? Kama hauna connection si upite kimya kimya tu.
Mtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.
huo ndio ubinadamu,hayakwepeki hayoKumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.