Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Ahsante sana mkuuWaziri Mkuu lazima awe amechaguliwa jimboni
Nalog off
Ahsante sana mkuuWaziri Mkuu lazima awe amechaguliwa jimboni
Labda anaumwa macho
Tz kuna vituko sana, eti ndiye waziri wa hela..Mwigulu ana akili za darasani.
..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.
..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.
Labda bado ana huzuni ya msiba.Kaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
PhD's from evening classes.Hivi hizi PhD zao wanaokota wapi ?
Tatizo wanafanya kazi kwa mitandao zaidiMwigulu, trash!
Mkumbo, trash!
Aweso, trash!
Bashungwa, trash!
Wengi kati ya hawa ni wapenda rushwa ile mbaya!
Maza kashapotexa dira...nchin ipo lwenye tia maji tia maji ya Ugaidi, Chanjo corona debate, Tozo afu wewe unazurura mbuga za wanyama kupiga picha na twiga kweli.Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Sio huyo tu. Kipindi hiki wengi hawakimbizan na media, wapo kimnya snKaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
Weka CV yake Mkuu.Huyu Mbunge mpya (Tax) anafaa wizara ya uwekezaji.Mama SSH anapokwenda kuomba misaada na mikopo nchi za nje ansongozana nao:upande wa kulia Balozi Mulamula(Mambo ya nje) na upande wa kushoto kushoto Balozi stagmena Tax (Uwekezaji-Orodha yake ya fursa).
Hayo ni mawazo tu,mkuu hapangiwi.
Arudi majalalani zee kubwa jinga.....hatutaki walamba m.a.t.a.k sisini aibu eti hata wajukuuKaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
Kwani waziri wa fedha wa sasa hawezi kuongea kingereza? Kama hawezi mbona tunae? Au ulimaanisha nini? Wakati mwingine chuki binafsi zina wadatisha!..Mwigulu Nchemba aondolewe.
..Tz hatuwezi kuwa na Waziri wa Fedha hawezi kuongea Kiingereza.
Amhamishie wizara nyingine akaharibu na huko ???Mwenyezi Mungu amjalie Chief Hangaya maono ya kweli ya kumhamisha Dr. Mwigulu Nchemba kwenda Wizara nyingine yoyote ile!
Kiukweli hii Wizara ya Fedha na Mipango, Comrade ametuvuruga sana na hizo TOZO zake zisizo eleweka.
Kwani waziri wa fedha wa sasa hawezi kuongea kingereza? Kama hawezi mbona tunae? Au ulimaanisha nini? Wakati mwingine chuki binafsi zina wadatisha!
Kaboud ni muumini wa JPM!! He is not happy na mambo yanavyokwenda!! Ameshindwa kujitoa ufahamu kama wenzake!!Kaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
Matatizo ya ku promote watu harakaharaka bila kuwapitisha katika real life experience...Tujifunze kupitia hili.....Mwigulu ana akili za darasani.
..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.
..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.