Tutegemee Reshuffle ya Cabinet?

Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,337
2,000
..Mwigulu ana akili za darasani.

..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.

..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.
Alikuwa mfanyakazi BOT,kuongoza na kusimamia ni vipaji.
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,148
2,000
Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.

Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Huyo mama niliwahi kufanya nae kazi yupo poa sana na kichwani yupo Safi Ila sababu alikuwa mtendaji Sasa wakimuingiza kwenye siasa za maamuzi Sina uhakika kama ataendelea kuwa vile. Time will tell ngoja tusibiri maneno yake bungeni na akipata nafasi zaidi.
 

Chikuvi2021

Senior Member
Aug 3, 2021
172
250
Huyu Mbunge mpya (Tax) anafaa wizara ya uwekezaji.Mama SSH anapokwenda kuomba misaada na mikopo nchi za nje ansongozana nao:upande wa kulia Balozi Mulamula(Mambo ya nje) na upande wa kushoto kushoto Balozi stagmena Tax (Uwekezaji-Orodha yake ya fursa).
Hayo ni mawazo tu,mkuu hapangiwi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom