Tutegemee Reshuffle ya Cabinet?

sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,729
2,000
Angalia picha in 3D,Waziri Mkuu yupo safi,Yule TAMISEMI yuko safi,Kilimo ni zero,Afya ni controversial inataka fund seeker,biashara na viwanda yule professor he must step up on gas ila wacha amalize homework,
Waziri wa pesa nae achukuwe sabbatical leave aje Wall Street, au aje Singapore atafute kazi low profile.
Nishati nayo inatakiwa blood transfusion.
Madini ni old dog can not learn old tricks.
Defense we need a competent mariner alete manowali za kulinda bahari na maziwa yetu.
Ujenzi na Uchukuzi needs complete overall, tunata smart engineering sio kufanya kazi kwa mazoea.
Wizara ya kazi its most abused ministry,ifute iwe tu taasisi ya ajira,tafuta watu wenye sifa za kutafutia watu kazi sio hao wasio na vision.
Ardhi nayo inataka majibu sio cheap and scapegoat drama.
 

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,797
2,000
..Mwigulu ana akili za darasani.

..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.

..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.
Tz kuna vituko sana, eti ndiye waziri wa hela
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
26,016
2,000
Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.

Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Maza kashapotexa dira...nchin ipo lwenye tia maji tia maji ya Ugaidi, Chanjo corona debate, Tozo afu wewe unazurura mbuga za wanyama kupiga picha na twiga kweli.
 

Magazine Fire

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
1,229
2,000
Huyu Mbunge mpya (Tax) anafaa wizara ya uwekezaji.Mama SSH anapokwenda kuomba misaada na mikopo nchi za nje ansongozana nao:upande wa kulia Balozi Mulamula(Mambo ya nje) na upande wa kushoto kushoto Balozi stagmena Tax (Uwekezaji-Orodha yake ya fursa).
Hayo ni mawazo tu,mkuu hapangiwi.
Weka CV yake Mkuu.
 

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
1,878
2,000
Huyu Dr aliyeteuliwa atafuata mfumo uliomteua kutenda kazi. Mfumo wetu umekaa kisiasa na ulaghai mwingi mfano Last 6 month Tulikuwa uchumi wa kati na ulikuwa unakua 7% now umeshuka hatuko kati tunahitaji fedha tukamue tozo.
Hakuna mtu msomi mzuri na anajua Biashara kama Dr Mndolwa lakini toka alipoingia kwenye synagogue la ccm zile brilliant ideas, researches za kibiashara amefungi kabatini na yeye anaongelea ilani ya chama tuu na blabla zingine as usual. Hakuna mtu ana ideas na intelligent kwenye biashara kama Adam Kimbisa lakini alipotulia magambani akili yote vibarant ikatulia.
Lau masha namnukuu kutoka mahojiano yake na Gerald hando kwenye joto la asubuhi anasema kuna wakati unatenda unaona hii sio perfect lakini lazima ufuate collective responsibility ya serikali unatenda vile mfumo unavyotaka.

Tusitegemee maajabu kuteuliwa kwa huyu mama Tax, hata akija Paul wolfowicz au kaberuka akishapewa ilani ofisini basi akili yake atafungia kabatini.
 

Ngamanda

JF-Expert Member
Jan 9, 2019
311
500
..Mwigulu Nchemba aondolewe.

..Tz hatuwezi kuwa na Waziri wa Fedha hawezi kuongea Kiingereza.
Kwani waziri wa fedha wa sasa hawezi kuongea kingereza? Kama hawezi mbona tunae? Au ulimaanisha nini? Wakati mwingine chuki binafsi zina wadatisha!
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,644
2,000
Kwani waziri wa fedha wa sasa hawezi kuongea kingereza? Kama hawezi mbona tunae? Au ulimaanisha nini? Wakati mwingine chuki binafsi zina wadatisha!

..hawezi kuongea ktk kiwango anachopaswa kuongea mtu anayetuwakilisha ktk mazungumzo na majadiliano na imf,wb, na taasisi nyingine za kimataifa.
 

Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,464
2,000
..Mwigulu ana akili za darasani.

..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.

..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.
Matatizo ya ku promote watu harakaharaka bila kuwapitisha katika real life experience...Tujifunze kupitia hili...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom