BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,020
Ahsante sana Mkuu ππΎππΎππΎππΎππ½
Ph.D za wanasiasa ni kwa ajili ya kutishia. Akiona hawatishiki anaitaja kwenye TV ili nchi ijue ana Ph.D.
PhD. ina thamani inapokuwezesha kuwasiliana na dunia. Angalia sasa! Mwigulu hajawahi kuandika chapisho lolote toka ktk hiyo Ph.D. Maana yake haina lolote la kuwasilisha duniani!