Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

Subiri umri ufiki mkuu, utaoa tu, hi kitu inaitwa ndoa is unkwepable, kuna hali fulani ya upweke ikikushika mkuu utanyoosha mokono mwenyewe na kwenda hata kwa Heaven on earth na uka propose![/QUOTE] Why Heaven on Earth!
 
kuna ukweli mchungu about human being..... cheating is inevitable especially kwa man because man are naturally born polygamous!!!!
Mtoa maada nilivyomuelewa hapendi cheating, sasa wewe unasema man are naturally polygamous kwa hiyo hapo yeye kaya tudanganya tayar anaposema hapend kumshushia haz mpenzi wake au iko vip
 
kwa mantiki hiyo miss chagga, ndo kusema Eiyer wants to eat his cake and have it too
Eiyer sometimes unakuwa na wishful thinking, kwamba wote muwe perfect lakini ndo ivo kama alivosema Munkari unakuwa hucheat ila mwenzio anacheat

Pili, nakubaliana na hoja (sadly) kwamba kucheat na kupenda ni tofauti sana....

Tatu, ndoa sio ya kila mtu......so ukijisikia kuwa mseja poa tu, andhani unaipa thamani kubwa sana ndio maana mwenyewe unasita sita pia kwa vile hutaki kuifanyia mchezo

nne, the world is not fair at all...so better live ur life, shit happens na punguza expectations (u have set the bar too high)
Husninyo upo wapi hebu njoo

kweli bana, yaani huyu baba paroko Eiyer sijui anaichukulia vipi ndoa ila kama ana mtazamo hasi juu yake ni bora kutoikimbilia. sioni kama kuna ulazima wa kuoa au kolewa.. (tusileteane dini hapa).
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni wa Jesus Christ nakushauri tu mwendee yeye na umuomba akupe Mke mwema ambaye atakuwa mwaminifu kama wewe ulivyo! Usikurupuke kuingia kwenye mahusiano pasipo kumshirikisha Mungu hakika utaumia.

Nimekupata mkuu
Nimechoka kuumizwa mie!
 
huyu bwana Eiyer nae nasikia ni paroko
sioni uhalali wa kutoa mafundisho tena..ama muulize ati

Sina ruhusa kutoa mafundisho gani tena wajameni?
Angalieni msinifukuzie kondoo wangu bure!
 
kweli bana, yaani huyu baba paroko Eiyer sijui anaichukulia vipi ndoa ila kama ana mtazamo hasi juu yake ni bora kutoikimbilia. sioni kama kuna ulazima wa kuoa au kolewa.. (tusileteane dini hapa).

Jamani mbona inaonekana hamnielewi

Mimi nilikuwa nauliza swali kuhusiana na namna mambo yalivyo
Sina mtazamo hasi na ndoa bali nilikuwa najiuliza tu!
 
Mtoa maada nilivyomuelewa hapendi cheating, sasa wewe unasema man are naturally polygamous kwa hiyo hapo yeye kaya tudanganya tayar anaposema hapend kumshushia haz mpenzi wake au iko vip

Nilimuuliza kama kwa mimi kutokupenda hiyo kitu nakua na mapungufu huyo mkuu bado hajanijulisha
Namsubiri aje anipe majibu!
 
kucheatiwa kunauma hasa ukijua unakuwa unawaza ni jinsi gani mtu alivyokuwa anavyokufanya mjinga anakupa sababu za kijinga na wewe unaamiini then unakuja kujua uweli ulikuwa unafanywa mjinga inauma sanaaaa.

Yaani we acha tu
Hii kitu inakera sana!
 
Ndo Phalipupa Baba Lao.Maisha Ya Leo Without Cheating Ni Dharau Ktk Ndoa Wewe Unayesema Hauwez Kudanganya Bola Uishi Single Usije Kuumizwa Kama Si Kuumiza!!!!...Cheating Is Fasion.

Kumbeee!!!
Kama ni hivyo bado nipo nipo sanaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Dah! Kaka pole sana!
Labda ujaribu kwa hawa mama zetu {40-45yrs} ambao ni wajane au hawakubahatika kuolewa! Nahisi hawa afadhali sana! Huwezi kumpata mwenye kila sifa uitakayo! But hawa hawana genye mshindo za kuchupa-chupa!!!
...
Hawa swala mwitu only wanashikwa na Cheater/duma/chui madoto! Coz duma wanaweza kutembea miles nyingi tu!!!
...
But be careful ukichagua sana unaweza ukaula na chua!
Hope nimesomeka broo!

Sasa mkuu hao si wameisha utamu???????????
 
Back
Top Bottom