Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
Usijali
Najua Mungu ni wa upendo hawezi kutuacha!
naona mnajifajiji wajane!
Maisha ya mapenzi yanahitaji roho ngumu sana aisee waweza ua mtu eti.
Usijali
Najua Mungu ni wa upendo hawezi kutuacha!
Hii ni imani na imani ina nguvu za ajabuWatu wanaobadilika ni wale fake
Yaani ni wale wasiokuwa wao
Yaani wanaiga maisha ya wengine
Mimi sipo hivyo nimezaliwa HIVYO
Siwezi kubadilika hata iweje
Mungu ndie ametaka niishi hivi!