Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
- Thread starter
- #141
Tuthibitishie huo ugunduzi wako hapaUkisoma hii thread vizuri utagundua kwamba aliyeandika hii thread ni good cheater na anachojaribu kufanya hapa ni marketing strategy na kutafuta huruma ya mabinti single hapa MMU awacheat pia!
Ukishindwa nitake radhi hapahapa
3[kumbuka nina zaidi ya miaka 30!]Eiyer tell us how many girlfriends have you possessed along your way till today?
Sio kweliKitendo cha kumwacha gf moja na kuchukua mwingine nayo ni cheating!
Kwahiyo nikimfumania na jamaa mwingine bado nikimuacha nitakuwa nimecheat?