Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Kuna watu wamezaliwa na tabia ambazo kwa ulimwengu wa leo watapata shida sana.
Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili mwenza wao kuwasaliti.
Hili ni suala gumu sana
Binafsi nilishawahi kujaribu kulifikiria hili nikajikuta nashindwa kabisa,siwezi kutofautisha kumdharau mpenzi wangu na kum-cheat
Yaani siwezi kum-cheat halafu niendelee kujidai eti nampenda,Ni ngumu.
Nahisi kujidhalilisha na zaidi sana namdhalilisha mwenza wangu.Nahisi maisha yatakuwa magumu sana kwenye dunia hii ya "cheating is inevitable".
Nawaona wake za watu mitaani wanavypishana kwenye nyumba za wenyeji[sio wageni].
Najaribu kuvivaa viatu vya waume zao nahisi uchungu sana.
Na hata wale wenzangu wenye mtazamo huu nawaambieni tutaipata tu kwenye maisha haya.
Au tuamue kuachana kabisa na hii kitu?.
Tutaoa kweli?
Mimi nimeamua tu kubaki naangalia kwanza!
Maisha ya kuigiza ni magumu sana!