Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

mimi nimeoa mke na ndoa yangu inamiaka kumi natatu sicheat mke wangu na mke wangu sijahi kumkamata akinicheat kwa kifupi tunaaminiana .nikimkamata mke wangu ananicheat upendo utakufa na nitamchukia sana, mimi mwenyewe nikija kucheat nitajichukia sana kwa tendo hilo na nitamchukia yule niliye cheat naye.watu waaina hii wapo wachache sana na wana misimamo imara sana .
 
mtoa mada nimekupata vizuri!! ila sasa mapenzi ya sasa cheating imekuwa fasion!!! ni kweli wewe utakaa kwa uaminifu!! ila mwenza mdo akawa kiruka njia!! ILA NI MUNGU TU WAMUSHIRIKISHA KWA KILA JAMBO
 
Si nilikuuliza kuwa kuitoa haki ya mwenza wako ni heshima?
Mbona hujanijibu?

siyo heshima... but remember absence makes the heart founder!!!!!!!! so for this case any thing can happen though sitegemei kumfanyia mpenzi wangu hivyo...
 
mimi nimeoa mke na ndoa yangu inamiaka kumi natatu sicheat mke wangu na mke wangu sijahi kumkamata akinicheat kwa kifupi tunaaminiana .nikimkamata mke wangu ananicheat upendo utakufa na nitamchukia sana, mimi mwenyewe nikija kucheat nitajichukia sana kwa tendo hilo na nitamchukia yule niliye cheat naye.watu waaina hii wapo wachache sana na wana misimamo imara sana .

Mkuu Mungu wetu wa Mbinguni akubariki na endelea hivyo hivyo!
 
mtoa mada nimekupata vizuri!! ila sasa mapenzi ya sasa cheating imekuwa fasion!!! ni kweli wewe utakaa kwa uaminifu!! ila mwenza mdo akawa kiruka njia!! ILA NI MUNGU TU WAMUSHIRIKISHA KWA KILA JAMBO

Inamaana hakuna mwaminifu?
 
siyo heshima... but remember absence makes the heart founder!!!!!!!! so for this case any thing can happen though sitegemei kumfanyia mpenzi wangu hivyo...

So ukicheat humpendi mwenza wako right?
 
Sasa mkuu hao si wameisha utamu???????????

Hahahahahahahaaaaa!
Hilo nalo neeno!
...
Anyway!
Wengine mbona wanalipa bado?!
...
Hawa wa digitali wengi wao majanga!
Labda uwe na vigezo vinavyowaridhisha!
Mf: hela (za kutosha)
Maujuzi kwa bedi!
+ uhandsome!
...
Kinyume na hapo Shughuli itakua pevu kidogo! Mwenyewe si unavionaga vigezo vyao humuhumu jf?
Wanataka mabaunsa!
Sasa kama unakifua flati, shughuli nyengine hiyo!
Mmh! Wacha tu nikutakie kila la heri!
But iko njia nyengine kama utaweza kuiamini!
 
mimi nimeoa mke na ndoa yangu inamiaka kumi natatu sicheat mke wangu na mke wangu sijahi kumkamata akinicheat kwa kifupi tunaaminiana .nikimkamata mke wangu ananicheat upendo utakufa na nitamchukia sana, mimi mwenyewe nikija kucheat nitajichukia sana kwa tendo hilo na nitamchukia yule niliye cheat naye.watu waaina hii wapo wachache sana na wana misimamo imara sana .

Watu kama nyie ndo mnatutia moyo tusiogope ndoa...mbarikiwe sana na muendelee kuwa mfano
 
Hahahahahahahaaaaa!
Hilo nalo neeno!
...
Anyway!
Wengine mbona wanalipa bado?!
...Mkuu ubora wa gari injini sio bodi
Hawa wa digitali wengi wao majanga!
Labda uwe na vigezo vinavyowaridhisha!
Mf: hela (za kutosha)
Maujuzi kwa bedi!
+ uhandsome!
...Hilo la hela ni tatizo kwangu
Ila hilo la kwa bedi naliweza sana
Uhandsome nao ni tatizo kubwa
Ukiniona utadhani nalia kila mara....lol!
Kinyume na hapo Shughuli itakua pevu kidogo! Mwenyewe si unavionaga vigezo vyao humuhumu jf?
Wanataka mabaunsa!
Sasa kama unakifua flati, shughuli nyengine hiyo!
Mmh! Wacha tu nikutakie kila la heri!
But iko njia nyengine kama utaweza kuiamini!
Njia ipi hiyo?
 
Sijakuona my fnd nikajua umeanza novena.

Nilikuwa nimekwenda shambani kupalilia kwanza
Si unajua masika ndio haya?

Kisha nikamuweka mchina wangu kwenye chaji sasa ameshiba ndio maana unaniona hapa!
 
Back
Top Bottom